Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
jitahidi kuwa unafuatlia ndoto zako, inawezekana kile unachoota usiku unakutana nacho baada ta siku 1 au mbili, ni hali ya kawaida wala usiogope, kuna watu wanaweza kuota kitu na kikatokea kweli.Wakuu, kuna hali inanitokea sana mpaka najikuta najishangaa 2,labda mimi mtu wa ajabu au vp.. Yani naweza fanya jambo alafu nastuka kwamba nilishafanya hivyo ila sikumbuki mda gani ila nakuwa na uhakika kabisa kwamba nilishafanya tena vile vile bila kukosea step..
Mfano naweza pita njia flani na kukutana na watu alafu hapo hapo picha inajirudia kichwani kwamba nilishapita hapo na kukutana na watu hao hao.. Hivi hii hali wakuu ni ya kawaida au kuna namna?