mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
Bado hujabarehe sawasawa
Tupia na kapicha basi tusafishe machoKawaida tu ila upunguze sasa ukija Rwanda si utaumwa maana mitaa yote imejaa vitu mnono mnono tu
tunapishana na demu mkali huwa nakosa hata confidence ya kumsalimia au hata nikimsalimia sauti haitoki ila kwa wanawake wakawaida hii Hali huwa haitokei, hata nikiwa nasafiri ikitokea nimekaa na demu mkali naweza nikakaa nae tusizungumze chochote zaidi ya salamu,
Wewe mrembo umenivutia sanaWe utakua mshamba labda hujazoea mademu wazuri!
Tena mm naonaga mademu wazuri ndo tupo poa sana yaani no mashauzi[emoji85] [emoji85]
hata mimi niko hivo mkuuhabari wanajamiiforums wote, mimi ni kijana wa kiume wenye age 25s' Mara nyingi nikiwa kwenye mizunguko yangu ikatokea tunapishana na demu mkali huwa nakosa hata confidence ya kumsalimia au hata nikimsalimia sauti haitoki ila kwa wanawake wakawaida hii Hali huwa haitokei, hata nikiwa nasafiri ikitokea nimekaa na demu mkali naweza nikakaa nae tusizungumze chochote zaidi ya salamu, wakuu ili tatizo linanipa shida Sana hasa katika masuala ya wahusiano naonekana Kama mtu mwenye dharau au ninayejisikia nifanyaje niepukane na hili ,tatizo linaniathiri Sana maisha yangu Msaada tafadhali
Endelea kuvutika mkuuWewe mrembo umenivutia sana
Ha ha ha kipi icho shea namie basinimecheka sana jaman !yaan dah ! aisee! umenikumbusha kitu
Njoo uone laivuTupia na kapicha basi tusafishe macho
haswaa hela hana huko kujiamini kunatokea wapi ??..Tatizo pesa tafuta pesa tatizo litaisha lenyewe
exactlyHahahah kuna ukweli kwa mbali, demu mzuri obvious utaona wa gharama. Hata kumsogelea huwezi kama huna hela ila pia ukiwa na hela unakuwa na confidence sana kuwa mtihani wowote atakaokupa utaushinda. Kama outings, saluni na mizinga mingine.
Sio siri mi nikiwa na hela ndefu hata njaa huwa siskii najikuta nimepitiliza mlo tu.
hahaaaKwani kima chako cha mshahara ni kipi?
Ukiwa nazo huwa inakuwa kinyume chake.watakuwa wanakosa confidnce wao
njoo huku ujifunze bro unachelewahabari wanajamiiforums wote, mimi ni kijana wa kiume wenye age 25s' Mara nyingi nikiwa kwenye mizunguko yangu ikatokea tunapishana na demu mkali huwa nakosa hata confidence ya kumsalimia au hata nikimsalimia sauti haitoki ila kwa wanawake wakawaida hii Hali huwa haitokei, hata nikiwa nasafiri ikitokea nimekaa na demu mkali naweza nikakaa nae tusizungumze chochote zaidi ya salamu, wakuu ili tatizo linanipa shida Sana hasa katika masuala ya wahusiano naonekana Kama mtu mwenye dharau au ninayejisikia nifanyaje niepukane na hili ,tatizo linaniathiri Sana maisha yangu Msaada tafadhali
Tatizo pesa tafuta pesa tatizo litaisha lenyewe
pesa kivipi mkuu sijakuelewa
nimecheka sana jaman !yaan dah ! aisee! umenikumbusha kitu
Kwani kima chako cha mshahara ni kipi?
Ukiwa nazo huwa inakuwa kinyume chake.watakuwa wanakosa confidnce wao
hahahaha...coment zingine raha sana..
We utakua mshamba labda hujazoea mademu wazuri!
Tena mm naonaga mademu wazuri ndo tupo poa sana yaani no mashauzi[emoji85] [emoji85]
mnapitwa hukuuu mjeee kuona wenzenu wanavyofumaniwaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANIuwe unagonga konyag kabla ya kuenda kukutana na madem wakali.
Hahaaa hilo la njaa ni kweli mkuuHahahah kuna ukweli kwa mbali, demu mzuri obvious utaona wa gharama. Hata kumsogelea huwezi kama huna hela ila pia ukiwa na hela unakuwa na confidence sana kuwa mtihani wowote atakaokupa utaushinda. Kama outings, saluni na mizinga mingine.
Sio siri mi nikiwa na hela ndefu hata njaa huwa siskii najikuta nimepitiliza mlo tu.
mnapitwa hukuuu mjeee kuona wenzenu wanavyofumaniwaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANIHahaaa hilo la njaa ni kweli mkuu
nije DM au hapa hapa mkuu!We utakua mshamba labda hujazoea mademu wazuri!
Tena mm naonaga mademu wazuri ndo tupo poa sana yaani no mashauzi[emoji85] [emoji85]