habari wanajamiiforums wote, mimi ni kijana wa kiume wenye age 25s' Mara nyingi nikiwa kwenye mizunguko yangu ikatokea tunapishana na demu mkali huwa nakosa hata confidence ya kumsalimia au hata nikimsalimia sauti haitoki ila kwa wanawake wakawaida hii Hali huwa haitokei, hata nikiwa nasafiri ikitokea nimekaa na demu mkali naweza nikakaa nae tusizungumze chochote zaidi ya salamu, wakuu ili tatizo linanipa shida Sana hasa katika masuala ya wahusiano naonekana Kama mtu mwenye dharau au ninayejisikia nifanyaje niepukane na hili ,tatizo linaniathiri Sana maisha yangu Msaada tafadhali