Hivi Haya Mashimo Tanzania itayafanyia nini?

Nchi ya Malaysia wao walikuwa wanachimba tin. Katika kutunza mazingi wakapanda michikichi kwa wingi. Sasa mining imekwisha wanavuna chikichi na kuuza mafuta ya mawese dunia nzima.

Mkuu, heri ya wenzetu, sie tutashindwa hata kupata buku jero ya kufukia hayo mashimo! Ndipo wajukuu zetu watakapo fukua makaburi yetu na kuchuku mafuu ya vichwa vyetu na kupeleka maabara na kuyapima kama tuliku kweli binadamu au tulikuwa mithili ya manyani fulani tu! Hiyo siku ipo.
 
Mabwawa ya kunyweshea mifugo maji, kuzalishia mbu, na pia sehemu za utalii wa ndani
 
bora tungeachiwa hayo mashimo nasi tukaonyesha shule,vyuo,barabara,hospital za kisasa zilizojengwa na wachimbaji wageni

unadhani barabara nzuri , shule na vyuo ni jukumu la wawekezaji... shtuka tatizo ni serikali yako na mshua wake hawana mipango wala mikakati ni kusafiri na kukenua tu barani ulaya ...kama wasomi hatuuna haja ya kuwalaumu wawekezaji kwani wapo pale kutokan ana mikataba mibovu na serikali ya HB
 
Back
Top Bottom