Hivi Haya Mashimo Tanzania itayafanyia nini?

Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
323
Jamani naomba kujuzwa kwa wanaofahamu, baada ya haya machimbo kwisha mashimo haya yatakuwaje?

Geita1.jpg

Geita.jpg
 
Nchi ya Malaysia wao walikuwa wanachimba tin. Katika kutunza mazingi wakapanda michikichi kwa wingi. Sasa mining imekwisha wanavuna chikichi na kuuza mafuta ya mawese dunia nzima.
 
bora tungeachiwa hayo mashimo nasi tukaonyesha shule,vyuo,barabara,hospital za kisasa zilizojengwa na wachimbaji wageni
 
Nadhani hata kwa makumbusho hatutaweza kuyatumia 7bu ni vivutio vingi tunavyo na wizara ya mali asili hawana habari navyo na sijui kama wanajua vipo
 
Si tumeanza kupima mafuta nchini kwetu? Wazungu watakapo nato watakapo anza chokochoko zao hayo mashimo tutayatumia kama mahandaki.
 
Kuna mpumbavu mmoja wa sisiemu alisema yatkua mabwawa ya ufugia samaki na pia vivutio vya utalii,mapumbavu kama haya kule kwa wenzetu walioendelea niokupiga risasi ya kicha tu,alakini hapa bongo wabunge wa sisiemu watapiga makofi nusu saa ,hii laana haitowaacha sisiemu,mmelaaniwa sisiemu wote.
 
Yafugie samaki? Na ile sumu itakuwaje maana kuna sumu si mchezo
 
kama ilivyo miji ya South africa, wanasema miundombinu na uzuri wote ulikuwa laid down na madini kabla ya technology na tourism!
bora tungeachiwa hayo mashimo nasi tukaonyesha shule,vyuo,barabara,hospital za kisasa zilizojengwa na wachimbaji wageni
 
Back
Top Bottom