Hivi haya magazeti na habari zake, vinaruhusiwa

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Angalia haya mgazeti na habari zake, je vinaruhusiwa kuchapishwa humu? nijibu kama vinaruhusiwa niwe nawaletea maana wengi wenu mnashindwa kuyanunua kuogopa aibu,
 
usilete tunaozitaka huwatunazifuata huko kwenye webusaiti yao, asante kwa kujali lakini.
 
MI ningeshauri usilete humu kwa sababu haihitaji uwe na degree kuweza kujua vinavyoandikwa humo achilia mbali ya kama vinaukweli ila aina ya uandishi ndio unakera..(anyway ndio maan halisi ya udaku)... sasa na fikiri si busara kuleta habari zao humu kwa misingi ya kuzijadili ( incase kama kuna habari very sensitive which is obviously itachapishwa na magazeti mengine pia)...... nafiki JF imelenga zaidi kwenye maswala ambayo ni very crucial kwa ajili ya nchi hii na kizai chetu na hata kijacho.. sio maswalal ya nani hajui kufanya mapenzi na nani kaliwa ndogo..au nani kafulia.....

USIYALETE HUMU KAKAK KWA KIASI FLANI ITABOA... ni maoni yangu tu lakini

************************************
UKIWAAMBIA WATU WAKUSANYE MATATIZO YAO KATIKA FUNGU MOJA... KISHA WAGAWANE SAWA KWA SAWA YALE MATATIZO ....BASI KILA MTU ATACHUKUA LILILO LAKE TU KWA KIASI KILE ALICHOWEKA...so dnt expect sm one to solve your prbs for you.. FIND A WAY...TRYING means "I cant" just DO IT
 
Back
Top Bottom