Hivi haya maandiko yana maanisha hivi?

Shetani alikuwa malaika right?
Na malaika waliumbwa na nani?
Shetani ni source ya ubaya na dhambi zote!

Na Mungu alijua Shetani ataasi na mambo yatakuwa jinsi yalivyo today!

Kwanini injili zisiwe the same word to word? Lkn meseji ni same (Uvuvio wa Roho Mtakatifu), maelezo yanatofautiana.

Tafuta mstari ambao Yesu anawaambia wayahudi kuwa Musa aliwaruhusu kuoa wake wengi kwa ajili ya ugumu wa roho zao ndipo utakapojua mawazo na possibly miongozo binafsi ilikuwepo na Mungu aliiruhusu.
 
Kaunga plz,hebu jibu swali langu tafadhali!
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom