Yaani ndugu zangu nguvu aliyokuwa nayo Mama samia na Kikwete ni tofauti na tunavyofikiri,tukiishindwa kuikomboa hii inchi tunaenda kuwa kama Congo,hebu fikiri linaretwa jeshi kutoka inje ili kuja kuuwa Raia wanaoandamana ambao ni Watanganyika,
Uongozi wa juu umejaa Wazanzibar wenye damu ya Omani ndiyo wanaosema Tanzania kuko shwari,Waarabu ndiyo haohao walioingia mikataba ya mamilioni ya pesa na Serikari ya Mama samia,Naomba kama wewe unadamu ya Tanganyika sema hapana hatukubariani ,hebu fanya chochote kwa ajili ya kuikomboa Tanganyika siyo Tanzania tena,yuko wapi Mabeyo ndiyo aliyetusababishia yote haya r.i.p Ndungaye hata kama alikuwa na mapungufu yake nazani kama angekuwa mzima leo hii tungekesha kulia naye,tunauzwa jamani tunauzwa tena kweupe