Hivi hawa watu wametokea wapi wanaojiita BMT Kutaka uchaguzi yanga

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
mm niwambie tu yanga hakuna uchaguzi wala hawawazi uchaguzi yanga inawaza mechi ya Al Ahali tu

narudia kusema Yanga haina uchaguzi huo wanaotaka wao ila tutakuwa na uchaguzi tunaoutaka sisi
 
Kwani hawa viongozi wa Yanga walikuwa hawajui kwamba wanatakiwa wafanye uchaguzi? Lazima wawepo viongozi halali waliochaguliwa kulingana na Katiba ya Yanga.
 
timu yetu tumemkabizi manji
Huyu Bwana Manji ndio kikwazo cha kukua kwa soka hapo Jangwani. Kwanza ahadi zoote aloahidi hakuna hata moja aliyotimiza, sana sana anaitumia Yanga kama jukwaa la kuonewa huruma kwenye vibiashara vyake vya kimagumashi.
Kama hamjashtuka mtaibiwa sana na sioni kiongozi anayeweza kumfikia Tabu Mangara Tabu.
 
ahadi ya manji ilikuwa

1) kuleta umoja kwa wanachama na viongozi
2) wanachama kuheshimu mamlaka na wachezaji wao
3) kuhakikisha shughuli za kilabu zinafanyika kwa wakati

jambo lake la uwanja ni mapenzi yake tu mwenyewe

hayo mengine ameshafanikiwa kwa asilimia 100

tunamuombea kila la kheri
 
Mjomba hakuna kitu kinachowaumiza kichwa wengi kama ujenzi wa Uwanja wa Jangwani, ile ni ahadi na anatakiwa aitimize!
 
Mbaya zaid mliahidi kufanya hivyo Baada ya 10th of October,2015..ili kupisha uchaguzi mkuu now hadi uchaguzi wa marudio umeisha ..kimyaaaaa.
 
Tff wamekomaa klabu zote zifanye uchaguzi tena fasta fasta lkn yanga mpaka leo. TfF watumbuliwe tu
 
Back
Top Bottom