Hebu ninyi wanajamvi kama mnaweza kusoma sycology ya mtu mnawachukuliaje hawa.
Hii ndio nini tena?
Halafu una uhakika gani hao ni wanawake?
mmh nawe una yako tu
Sent from my iPad using JamiiForums
Unatishwa na maneno?Mara nyingi kila nikiingia jf huwa najiuliza sana kuhusu hawa watu. Sijui wakoje? Mimi naona ni makokap sana waliokubuhu hata ukiingia kubanjuana nao inatakiwa mwanaume ujipange.. Kuna Lara1,Evelyn salt, Madame B, Miss Chagga na Nazjaz. Hebu ninyi wanajamvi kama mnaweza kusoma sycology ya mtu mnawachukuliaje hawa.
Mara nyingi kila nikiingia jf huwa najiuliza sana kuhusu hawa watu. Sijui wakoje? Mimi naona ni makokap sana waliokubuhu hata ukiingia kubanjuana nao inatakiwa mwanaume ujipange.. Kuna Lara1,Evelyn salt, Madame B, Miss Chagga na Nazjaz. Hebu ninyi wanajamvi kama mnaweza kusoma sycology ya mtu mnawachukuliaje hawa.
Hii ndio nini tena?
Halafu una uhakika gani hao ni wanawake?
hahahahahaha kaangalia majina inamaana kuna madame wa kiume ulimwenguni na miss je
Kumbe na wewe ukiona mtu ameweka neno Mrs, Madame, Miss basi tayari unaamini ni mwanamke?
Au akiweka avatar ya mwanamke tayari unaamini ni jinsia ya kike?