Ncherry1
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 2,181
- 2,256
Sasa shida iko wapnaacha
Sasa shida iko wapnaacha
yaan mkuu hayo yote nilipanga na nikamwambia lakin hanielewWewe hapo ni Mock exam anachukua tu mazoezi akijiandaa kukutana na Final exam. Period!!
(Naandika huku nacheka)
On a serious note zaidi ya kumpa pesa na Ku*** unafanya nini cha ziada as a man?
Mshirikishe kwenye mambo yako, panga nae long term plans na muonyeshe kua upo serious nae wataka kumuoa. Inawezekana anaona unamtumia tu ndo maana.
Fanya vitu vinavyoonyesha unataka kufanya nae maisha. Ndugi zake unawafahamu? Wa kwako anawajua? etc
Saa nyingine mnajisahau inawezekana anatingisha kibiriti.
yaan mkuu hayo yote nilipanga na nikamwambia lakin hanielew
And you know just what I'm talking about, tomorrow you'll be calling outwana jf yamenikuta kuna mwanamke nina mahusiano nae hela ya kula nampatia inshort majukumu yote ambayo anaitaji nampatia sio mchoyo kwake cha ajabu kuna kauli kaongea sijaipenda mpka saiv nafikilia nipige chini ama sipati jib,,,,kasema ivi bado hajaona mwanaume wa kuishi nae tukikaa nae ndani siwez kumlea kwakwel. nikamuuliza kama hela nakupa, mapenz tunafanya unalizika kajib ndio mpaka saiv sielew anataka nini alafu anasema hajaona bado umuhim wangu kwake nikimwambia bas kila mtu ale hamsin zake hatak kuniacha nisaidieni wadau
Thread closed.Mhonge IST
Dah....kina vitu vingine huwa hawasemi....wanalalamika tu...wanataka ujiongeze[emoji23][emoji23][emoji23]huu NDIO ushauri wa Kirohombaya
Wewe huyo hujamwelewa. Anataka umle Tigo.
Dah [emoji3][emoji3]Ndio usilalamike Sasa umeshajua sababu.
Jiongeze mkuu huyo anakutumia tu km kitega uchumi yan ni kama msafiri tu anaesafiri safari ya mbali amefika mahala amepumzika anavuta upepo, mda si mrefu ataendelea na safari yake.wana jf yamenikuta kuna mwanamke nina mahusiano nae hela ya kula nampatia inshort majukumu yote ambayo anaitaji nampatia sio mchoyo kwake cha ajabu kuna kauli kaongea sijaipenda mpka saiv nafikilia nipige chini ama sipati jib,,,,kasema ivi bado hajaona mwanaume wa kuishi nae tukikaa nae ndani siwez kumlea kwakwel. nikamuuliza kama hela nakupa, mapenz tunafanya unalizika kajib ndio mpaka saiv sielew anataka nini alafu anasema hajaona bado umuhim wangu kwake nikimwambia bas kila mtu ale hamsin zake hatak kuniacha nisaidieni wadau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe huyo hujamwelewa. Anataka umle Tigo.
Nyooo