rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,972
Sana mkuu...ukishalijua hili mwanamke hakusumbui sana!! ila kila atakachoongea wewe unakitilia maanani na kujali aisee utakufa mapema mno...Muda mwingine hawamaanishi wanayoyazungumza hivyo usipaniki.