Hivi hawa wanawake wanataka nini?

Hivi hawa wanawake wanataka nini?

wana jf yamenikuta kuna mwanamke nina mahusiano nae hela ya kula nampatia inshort majukumu yote ambayo anaitaji nampatia sio mchoyo kwake cha ajabu kuna kauli kaongea sijaipenda mpka saiv nafikilia nipige chini ama sipati jib,,,,kasema ivi bado hajaona mwanaume wa kuishi nae tukikaa nae ndani siwez kumlea kwakwel. nikamuuliza kama hela nakupa, mapenz tunafanya unalizika kajib ndio mpaka saiv sielew anataka nini alafu anasema hajaona bado umuhim wangu kwake nikimwambia bas kila mtu ale hamsin zake hatak kuniacha nisaidieni wadau
Dah..una mawili tu hapo ya kuchagua..na uchague moja...ama...piga chini huyo dem ..au piga simu namba 0713 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Dah..una mawili tu hapo ya kuchagua..na uchague moja...ama...piga chini huyo dem ..au piga simu namba 0713 [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
huu NDIO ushauri wa Kirohombaya
 
Huyu either alilelewa na Single mother ndo maana anajikuta kujiamini kama kote lakini Ukiona ukimpoteze anaanza kulilia bhasi kajua wewe huwezi kumuacha yani kiufupi kakuteka...!! Fanya siku moja akute msg za mwenzake mkiwa mnachat utaona heshima yakee japo mademu maneno ya shombo kawaida yao mwisho wa siku akili zikimjia hasa ukimkunaa vizuri anakaa sawa mbona..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mna umri gani?
 
Back
Top Bottom