Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,355
- 95,749
HahahahaUmesusa?[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaUmesusa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya bhana. [emoji23][emoji23]Simsamehiii ng'oo[emoji4]
Marahaba, haujambo mdogo wangu?Hahahaha, asee ,nikusalimie Rafiki
Sijambo, ni kweli umekasirika kiasi hiki Dada ake Mimi? Siamini ujueMarahaba, haujambo mdogo wangu?
Ndiyo, unadhani ulivyofanya ni vizuri?Sijambo, ni kweli umekasirika kiasi hiki Dada ake Mimi? Siamini ujue
Nisamehe, sirudii tenaNdiyo, unadhani ulivyofanya ni vizuri?
Mbona ni mchezo mtam tu!huo ujinga sijawai mkuu
Sawa yameishaaaaaNisamehe, sirudii tena
MTC | 101| [emoji769]
Tulikotoka ni mbali, tukitazama nyuma
Sawa yameishaaaaa
Sawa nitumie jibu la kweli.Sawa tuendelee sasa,nakusubiri
Ndio maana nikaamua kumpa dogo dedication, sio kila kitakachokuja kwa sura nzuri mwisho wake utakua mzuri....ajiandae kwa mema na mabaya! Kumbe wewe ni mpenzoi wa gospelTulikotoka ni mbali, tukitazama nyuma
Asingekuwa Bwana, tusingefika hapa
Mengi tuliyoyapitia, hayakutuacha tulivyo
Haikuwa rahisi, ni mkono wa Bwana
Mengine yalikuja kama mema, mwisho ukawa mbaya, mengine yalikuja kama mabaya, kumbe yana kusudi.........
Naupenda sana huu wimbo jamani
Sawa nakutumiaSawa nitumie jibu la kweli.
Ndio maana nikaamua kumpa dogo dedication, sio kila kitakachokuja kwa sura nzuri mwisho wake utakua mzuri....ajiandae kwa mema na mabaya! Kumbe wewe ni mpenzoi wa gospel
sijui kama ataelewa hili.Ajiongeze tu hapo. Inaonekana bidada kajiegesha tu lakin hato kaa muda mrefu
Mkuu hebu toa hio kozi hapa ya jinsi ya kua kidume kwenye mahusiano ili wengi tufaidikeKwa sababu inaonekena wewe siyo real man ndo maana anakudharau, kwa nini unakuja kulia lia hapa usipoelewana na demu wako? real man hutatua tatizo, inavyoonekana hauwezi kutatua matatizo na haujui unataka nini maishani hasa kwenye swala la mahusiano ndo maana unapoteza muda na Mwanamke anayeonekena hana mapenzi na wewe.
Mimi naweza kukupa kozi jinsi ya kuwa real man, na ukifuzu hutahangaishwa na Wanawake tena, bali wao ndo watakuwa wakitafuta ushauri jinsi ya kuweza kuishi utakavyo wewe na siyo kinyume chake kama ufanyavyo sasa hivi huo ni udhaifu, na Wanawake hawapendi wanaume dhaifu na ukiendelea hivi utarudi hapa kulia tena kwamba amekumwaga.
naachaWw ndo unaachwa au unaacha?
mkuu mim age yangu ni miaka 28 ila yeye ana 23Umri wako mkuu na wa kuyo mwanamke tafadhali ??
Ikiwezekana nitumie namba yke pm nijaribu kujua sabb mkuu