Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

halafu hizo wanazozikusanya watakuja kuwauzia tena kama mazuzu mtayanunua!
 
Hakuna kitu kama hicho mm nilisha tumia tecno ambayo nyinyi mnaona ndyo kali boom j8 lakini baada ya mda fulani ikaanza ukiitoa mfukoni unakuta imejipiga mara istaki nikaona ungese huo nikachukua mnyama samsung edge7 nakula maisha
Boom j 8? Kali? Tecno nzuri na imara zilikua phantom 5 pekee .....ninayo ina miaka mitatu mkononi haina tatizo lolote hata kioo chake hachuniki ng'o ....nshaiangusha sanaaaa haijawahi kupasuka kioo wala kusumbua kwenye matumizi yoyote Yale .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ