Alitaka wawe na vitochi vilivyofutika namba kabisa.Ndo dunia ya kidigitali. Wewe huoni sikuhizi babinti wanavyotuvalia kanga moja? Ndo maisha
Aiseee nimeukubali huu msemoEty nimesoma mahala panasema "Ukiona msichana ana smat phone ujue bikra hana"
sijajua huu msemo unaakisi hali halisi
Naona bint wa mtaan kwa jamaa kajibu tayarNa wewe Tafuta, you dont have to put in your mind about all things acquired by ladies through Offering something, will you be able to do so to get simu kali too?
Sasa hizo simu wanazihudumia vipi?,maana kuwa na smart sikuhiz ni sawa na kuwa na nyumba ndogo,Voda wamekaza vifurushiMabinti wengi au wote wanatamaa sana, wanaweza kucheza VICOBA mwaka mzima ili wanunue simu tu.
Pia huongwa na wengine hupewa na ndugu zao. Uswahilini tunao na tunawajua maisha yao ya duni sana, wanalipwa 150 na Wahindi ila wametuzidi simu.
Note: Usijaji maisha ya binti kwa vile umwonavyo kwenye daladala au mtaani.
Nilikuwa nadukua Fb za mabinti kazini kwetu na wengine nje ya kazi nikaona mazungumzo yao ya in box na wanaume. Kazi yao kubwa ni kuomba vocha na vifurushi kwa wanaume watakaojipendekeza in box.Sasa hizo simu wanazihudumia vipi?,maana kuwa na smart sikuhiz ni sawa na kuwa na nyumba ndogo,Voda wamekaza vifurushi
Kila mmoja anavipaumbele vyake kikubwa upambane ukamilishe yako tofauti na hapo kisukar kitapanda kwa kuwazia maisha ya watu.Kuna bar moja wahudumu wote wana simu Kali yani mwenye ya bei ya chini ni Samsung j7 pro niliwaza Sana Kama ulivyowaza mkuu yani watanzania tunaishi nje kabisa ya namna tulivyo.
FAKE LIFE
Eti nimesoma mahala panasema "Ukiona msichana ana smat phone ujue bikra hana"
sijajua huu msemo unaakisi hali halisi