Hivi hawa mabinti huku mtaani hizi simu kali hivi wanapata wapi?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,685
26,779
Yaani nimekutana na mabinti kama watatu hivi kila mmoja ana simu kali hadi nikawaangalia nikacheki yangu nikaona hii yangu ni toy tu.

Yaani binti ni mdogo hata maziwa (chuchu) hazijapasuka vizuri (kuvunja ungo) lakini mkononi wana smatphone tena kwa haraka haraka zile za gharama alafu ukiangalia vibinti vyenyewe ni vidogo hata hawaendani na simu walizoshika mkono.

Kama leo sijaeda ofisini nikawa na sarvey mtaani kidogo nimekutana na mmoja ana iphone 7 ya maana nikataka nim mamanyue kelibu moja niondoke nayo lakini nafsi ikanisuta na huruma imeniingia nikabaki namwangalia tu na kibegi chake kabeba ndani hakina kitu hata kaweka handkechief tu.

Wazazi au walezi kuweni makini sana na watoto wenu hawa wanaoanza kuvunja ungo au pale wanapoanza tuition wakifunga shule kuweni nao karibu sana sasa hivi dunia imebadilika sana na teknolojia imekuwa hizi simu zitawaharibia binti zetu mapema.
 
Mabinti wengi au wote wanatamaa sana, wanaweza kucheza VICOBA mwaka mzima ili wanunue simu tu.
Pia huongwa na wengine hupewa na ndugu zao. Uswahilini tunao na tunawajua maisha yao ya duni sana, wanalipwa 150 na Wahindi ila wametuzidi simu.
Note: Usijaji maisha ya binti kwa vile umwonavyo kwenye daladala au mtaani.
 
Sasa hizo simu wanazihudumia vipi?,maana kuwa na smart sikuhiz ni sawa na kuwa na nyumba ndogo,Voda wamekaza vifurushi
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom