• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Hivi hawa mabinti huku mtaani hizi simu kali hivi wanapata wapi?

wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
15,624
Points
2,000
wa stendi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
15,624 2,000
Yaani nimekutana na mabinti kama watatu hivi kila mmoja ana simu kali hadi nikawaangalia nikacheki yangu nikaona hii yangu ni toy tu.

Yaani binti ni mdogo hata maziwa (chuchu) hazijapasuka vizuri (kuvunja ungo) lakini mkononi wana smatphone tena kwa haraka haraka zile za gharama alafu ukiangalia vibinti vyenyewe ni vidogo hata hawaendani na simu walizoshika mkono.

Kama leo sijaeda ofisini nikawa na sarvey mtaani kidogo nimekutana na mmoja ana iphone 7 ya maana nikataka nim mamanyue kelibu moja niondoke nayo lakini nafsi ikanisuta na huruma imeniingia nikabaki namwangalia tu na kibegi chake kabeba ndani hakina kitu hata kaweka handkechief tu.

Wazazi au walezi kuweni makini sana na watoto wenu hawa wanaoanza kuvunja ungo au pale wanapoanza tuition wakifunga shule kuweni nao karibu sana sasa hivi dunia imebadilika sana na teknolojia imekuwa hizi simu zitawaharibia binti zetu mapema.
 
roselina john

roselina john

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2017
Messages
713
Points
1,000
roselina john

roselina john

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2017
713 1,000
Na wewe Tafuta, you dont have to put in your mind about all things acquired by ladies through Offering something, will you be able to do so to get simu kali too?
 
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
4,275
Points
2,000
A

Akilinjema

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
4,275 2,000
Ndo maana usishangae kuona vijana wa dogo nao wanamaambukizi sababu mabinti wanatamaa ya pesa, wanatembea na mababa kutaka pesa wakati huo na boy friend wa umri wake hapo unategemea nini kitatokea?

Yani bora kutomwamini yeyote bila Kijali umri
 
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,612
Points
2,000
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,612 2,000
Mabinti wengi au wote wanatamaa sana, wanaweza kucheza VICOBA mwaka mzima ili wanunue simu tu.
Pia huongwa na wengine hupewa na ndugu zao. Uswahilini tunao na tunawajua maisha yao ya duni sana, wanalipwa 150 na Wahindi ila wametuzidi simu.
Note: Usijaji maisha ya binti kwa vile umwonavyo kwenye daladala au mtaani.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
33,910
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
33,910 2,000
Mabinti wengi au wote wanatamaa sana, wanaweza kucheza VICOBA mwaka mzima ili wanunue simu tu.
Pia huongwa na wengine hupewa na ndugu zao. Uswahilini tunao na tunawajua maisha yao ya duni sana, wanalipwa 150 na Wahindi ila wametuzidi simu.
Note: Usijaji maisha ya binti kwa vile umwonavyo kwenye daladala au mtaani.
Sasa hizo simu wanazihudumia vipi?,maana kuwa na smart sikuhiz ni sawa na kuwa na nyumba ndogo,Voda wamekaza vifurushi
 
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Messages
4,612
Points
2,000
Bonde la Baraka

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2016
4,612 2,000
Sasa hizo simu wanazihudumia vipi?,maana kuwa na smart sikuhiz ni sawa na kuwa na nyumba ndogo,Voda wamekaza vifurushi
Nilikuwa nadukua Fb za mabinti kazini kwetu na wengine nje ya kazi nikaona mazungumzo yao ya in box na wanaume. Kazi yao kubwa ni kuomba vocha na vifurushi kwa wanaume watakaojipendekeza in box.
 
D

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Messages
2,594
Points
2,000
D

delako

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2012
2,594 2,000
Kuna bar moja wahudumu wote wana simu Kali yani mwenye ya bei ya chini ni Samsung j7 pro niliwaza Sana Kama ulivyowaza mkuu yani watanzania tunaishi nje kabisa ya namna tulivyo.
FAKE LIFE
 
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
16,613
Points
2,000
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
16,613 2,000
Kuna bar moja wahudumu wote wana simu Kali yani mwenye ya bei ya chini ni Samsung j7 pro niliwaza Sana Kama ulivyowaza mkuu yani watanzania tunaishi nje kabisa ya namna tulivyo.
FAKE LIFE
Kila mmoja anavipaumbele vyake kikubwa upambane ukamilishe yako tofauti na hapo kisukar kitapanda kwa kuwazia maisha ya watu.
 

Forum statistics

Threads 1,405,218
Members 531,947
Posts 34,481,144
Top