Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
Tehe! tehe! tehe! sasa mkuu Ndibalema ; kama Mwenyekiti mwenyewe anaogopa, sembuse mimi Betlehem? Wewe unanitakia mema kweli?Watu wa chama chake na wao wanalalamika pembeni bila ya kumfesi mhusika tena hawathubutu hata kumtaja jina kama mwanzisha mada alivyoogopa kumtaja jina.
Kuna kitu si cha kawaida kwa Lowasa, kwa nini anaogopwa na kila mtu hapa nchini?
Hadi mwenyekiti wa chama chake anamwogopa.
Tutamuonesha hatumuogopi kwenye sanduku la kura.Watu wa chama chake na wao wanalalamika pembeni bila ya kumfesi mhusika tena hawathubutu hata kumtaja jina kama mwanzisha mada alivyoogopa kumtaja jina.
Kuna kitu si cha kawaida kwa Lowasa, kwa nini anaogopwa na kila mtu hapa nchini?
Hadi mwenyekiti wa chama chake anamwogopa.
hivi mnakumbuka ule ujasiri uliosemwa na kamati ya bunge uliitwa ujasiri wa nini vile!??
Ooops! yani unataka kuniambia kuna uwezekano chama chake kikamuamini na kumsimamisha yeye katika nafasi ya urais?Tutamuonesha hatumuogopi kwenye sanduku la kura.
Yeye kwenye chama chake kashika mpini. Na ikumbukwe kua kwenye chama lao mwenye kisu kikali ndie anae kula steki.Ooops! yani unataka kuniambia kuna uwezekano chama chake kikamuamini na kumsimamisha yeye katika nafasi ya urais?
Tutamuonesha hatumuogopi kwenye sanduku la kura.
Kama ameweza kuwaghiribu maaskofu na masheikh, ni nani CCM mwenye usafi wa kumzuia Lowasa? kama ni swala la pesa ndio usiseme kabisa.Ooops! yani unataka kuniambia kuna uwezekano chama chake kikamuamini na kumsimamisha yeye katika nafasi ya urais?
Ukituliza akili yako na ukafikiri vizuri na kwa maono ya kiungu, na siyo uchambuzi wa kihuni kama wa Mwanakijiji utagunduwa kitu kimoja cha ajabu sana.nina uhakika watu timamu ndani ya ccm watakimbia chama chao kama huyu mtu atapewa ridhaa.