Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Kama CCM wenyewe wanagwaya kumuita Waziri Mkuu ALIYEJIUZURU na wanamsafisha kwa kumuita waziri mkuu MSTAAFU nani ndani ya CCM ataweza kum-face. Wote CCM watabaki kuzunguka MBUYU. Lakini hatima yake tunayo sisi Watanzania. kama tutawategemea CCM we''re completely fnish! mark my words.
The only thing to stop this GUY ni kama CCM itaona kwa kila dalili kwamba Watanzania HATUMTAKI, ndiyo itakuwa salama yetu, kwani CCM haitamsimisha
Hata huyu jamaa alikuja na single yake ya siku 90 na kuiimba majukwaani lakini sasa hivi kimyaa! Kahamia kwa Dr Slaa. Ni ukweli uliowazi kuwa ndani ya CCM wanamgwaya sana.