Hivi Hatumuoni Huyu......! au yuko sawa?

Hivi Hatumuoni Huyu......! au yuko sawa?

before pointing ur finger make sure ur hands are clean.,
 
u are so genius sir!!laiti kama hawa viongozi bila kujali utawala,cheo wangelifikiria kama wewe lowasa ilibidi wakuogopwa zaidi ya tsunami!!
 
Inasemekana alikwishamnunua M/ Kiti wake tangu 2005 , bali sisi wa cdm tunamsubiri kwa hamu kubwa sana 2015 , amechafuka mno na ni mwepesi kama pamba ! Kwanza kwao tumemmaliza amebaki na kijiji kimoja tu ! Kile chenye watu duni ambao bei yao ni pombe na nyama choma ! Ndani ya ccm kamnunua kila mtu , hata hawa buku 7 fc wote kwisha kazi , lakini huku nje ni sawa na dagaa aliyeondolewa kwenye bwawa , hana ujanja .
 
Huyu mtu anahitaji ujasiri na akili nyingi sana kupambana naye.
Pesa inaloga kila kitu.
 
Watu wa chama chake na wao wanalalamika pembeni bila ya kumfesi mhusika tena hawathubutu hata kumtaja jina kama mwanzisha mada alivyoogopa kumtaja jina.
Kuna kitu si cha kawaida kwa Lowasa, kwa nini anaogopwa na kila mtu hapa nchini?
Hadi mwenyekiti wa chama chake anamwogopa.
maandishi makubwa mekundu tafadhali,,,, hata MBOWE na SLAA wanamuogopa????
hata wewe unamuogopa?????
soryy!! mimi simuogopi ial namuheshimu sanaaaa
 
Hajawahi kuomba kwenda huko lakini hualikwa, hata we we kama una ishu mwalike tu hana ajizi atakuja tu. Tuache umbea ktk hili. Jamaa anafanya kazi nzuri sana.
 
Watu wa chama chake na wao wanalalamika pembeni bila ya kumfesi mhusika tena hawathubutu hata kumtaja jina kama mwanzisha mada alivyoogopa kumtaja jina.
Kuna kitu si cha kawaida kwa Lowasa, kwa nini anaogopwa na kila mtu hapa nchini?
Hadi mwenyekiti wa chama chake anamwogopa.
Hahaaaaaaa,teh,teh,teh hiyo ni pembe tatu ya waoga safi mkuu.
 
Lakini kwa upande mwengine viongozi wa dini nao wanapaswa kulaumiwa kweli.Viongozi wa dini wanaonekana kutochukua tahadhari kwenye mahusiano yao na wanasiasa mwishowe huishia kutumiwa na baadae kubakia kulalamika. Kuna kamsemo nasikia watu wakikasema sema eti "There is no free lunch in this world!" Haka kamsemo kama kana uhalisia. Anaekubali kutumia shauri yake.
 
sure!there is no free lunch in this world.
kaazi kwelikweli! Kuna kamsemo kengine kanasema - 'receiving gift is a selling of your freedom'.
naisikitikia tz na watz wake!
 
Kuna wakati nilitaka kuwa upande wake
Nimegundua ana maneno machafu sana
Ana jeuri ya pesa alizotuibia.

''wengine tunakula mikate na hawa wengine wanakula mihogo mibichi la msingi wote tunakula''...... by Lowassa
 
Unajua hakuna jambo lisilo na sababu, sasa ukiona moshi .....ujue pana waka moto, hivyo dalili za mvua ni mawingu.
 
Kuna wakati nilitaka kuwa upande wake
Nimegundua ana maneno machafu sana
Ana jeuri ya pesa alizotuibia.

umeona eeh, hata mimi nilitaka nijiingize kingi mwenyewe, siku moja nikamsikia anavyobwabwaja hadi nikashangaa nigeria kwa tbj alifuata nini? mbona hana mabadiliko!
 
Huyu bwana nilisikia pesa zake anahifadhi mpaka kwenye ma-simtank nyumbani kwake
 
Kama CCM wenyewe wanagwaya kumuita Waziri Mkuu ALIYEJIUZURU na wanamsafisha kwa kumuita waziri mkuu MSTAAFU nani ndani ya CCM ataweza kum-face. Wote CCM watabaki kuzunguka MBUYU. Lakini hatima yake tunayo sisi Watanzania. kama tutawategemea CCM we''re completely fnish! mark my words.

The only thing to stop this GUY ni kama CCM itaona kwa kila dalili kwamba Watanzania HATUMTAKI, ndiyo itakuwa salama yetu, kwani CCM haitamsimisha
 
Watu wa chama chake na wao wanalalamika pembeni bila ya kumfesi mhusika tena hawathubutu hata kumtaja jina kama mwanzisha mada alivyoogopa kumtaja jina.
Kuna kitu si cha kawaida kwa Lowasa, kwa nini anaogopwa na kila mtu hapa nchini?
Hadi mwenyekiti wa chama chake anamwogopa.
Ni Sumaye tu anayethubutu kukemea lakini hata yeye anaogopa kumtaja mhusika kwa jina.
 
Ooops! yani unataka kuniambia kuna uwezekano chama chake kikamuamini na kumsimamisha yeye katika nafasi ya urais?

Rostam na karamagi wamewekeza hapo. Msijiulize anapata wapi pesa za kuchangia harambee kila siku
 
Nape Nnauye vipi hivi ulisema mmewapa siku 90 au miaka 90 mafisadi.... maana sielewi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom