Harmonize alikua anasomaga QT hata sijui kama alimaliza shule yenyewe.




Issue yake ya Dudu WCB walimpiga kwenye kwenye utosi msumari wa nchi nane



Sio kila mkataba unaongezwa weweSijui...
Ila huwa inaongezwa... Vile ulivyouishi.
Discharge of contractEnd of contract and not renewed!