[emoji120][emoji120][emoji120] Nakazia [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]dogo soma kwa bidii, ukimaliza kusoma kama hujabahatika kuajiriwa usikate tamaa ingia chaka pambana na mishe nyingine upate pesa, pambana kila siku upate pesa,tafuta pesa, wakati sahihi ukifika utapata mwanamke sahihi utaoa, acha mambo ya kitoto[emoji16]
Hamna shida mkuu nimeelewa ngoja nitafute hela tuBasi tafuta hela mapenzi yatakuja tu yenyewe
Asante na mimi nataka nianze hizo processKweli mapenzi yanakuchanganya pole sana. achana naye tafuta mwingine.
Hayo ndo maneno sasa...bora mapenzi yakupige ukiwa na hela usipokua na hela unaweza ukachukua maamuzi magumuHamna shida mkuu nimeelewa ngoja nitafute hela tu
Dogo siku hizi mademu wanataka wanaume wauhuni wahuni, mandava mandava sio nice guys km wewe, kwa kuangalia muandiko tu hata vidole vyako vinaongea, you are a home boy for real, usipoangalia watakupiga matukio sana tu be serious.Nami pia nimekuelewa
Mkuu mimi nilijaribu kumchunguza ili kujiridhisha kama ni mke wa mtu kweli lakini sio labda atakuwa na mwanaume mwenye malengo nae ya kuwa mumewe
Na kuhusu kumvua chupi mwanamke, mimi sina mambo hayo wala sikuwahi kushiriki kwenye mambo ya ngono na wala sikumtamanj kimwili na muheshimu sana ndio maana nilipoanza kumtongoza nilimwambia direct kuwa lengo langu ni kumuoa na wala si kumchezea
Lakini suala lake la kutokupokea simu zangu linaniuma sana isitoshe simu kupigia ni kwa lengo la kumjulia hali lakini yeye anakukalia kimya ukimuuliza lengo la kutokupokea simu zangu ni nini? Hajibu?? Why? Anakaa kimya kama hataki mawasiliano na mimi kwa nini asifute namba zangu na kwani anabaki nazo??
Mimi na uhuni aisee hapana lakini kama ni hivo acha tu nipigwe hayo matukioDogo siku hizi mademu wanataka wanaume wauhuni wahuni, mandava mandava sio nice guys km wewe, kwa kuangalia muandiko tu hata vidole vyako vinaongea, you are a home boy for real, usipoangalia watakupiga matukio sana tu be serious.
Kufuta ama kutofuta namba zako hayo muachie mwenyewe. Jiangalie wewe kama wewe na ujionee huruma, wacha kulazimisha mawasiliano na mtu asie na muda na wewe utakuja pigwa na kitu nzito shauri zako.Nami pia nimekuelewa
Mkuu mimi nilijaribu kumchunguza ili kujiridhisha kama ni mke wa mtu kweli lakini sio labda atakuwa na mwanaume mwenye malengo nae ya kuwa mumewe
Na kuhusu kumvua chupi mwanamke, mimi sina mambo hayo wala sikuwahi kushiriki kwenye mambo ya ngono na wala sikumtamanj kimwili na muheshimu sana ndio maana nilipoanza kumtongoza nilimwambia direct kuwa lengo langu ni kumuoa na wala si kumchezea
Lakini suala lake la kutokupokea simu zangu linaniuma sana isitoshe simu kupigia ni kwa lengo la kumjulia hali lakini yeye anakukalia kimya ukimuuliza lengo la kutokupokea simu zangu ni nini? Hajibu?? Why? Anakaa kimya kama hataki mawasiliano na mimi kwa nini asifute namba zangu na kwani anabaki nazo??
kijana soma achana mapenzi kwanzaHivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye?? Maana hapa kama nipo njia panda hivi.
Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno mengi, nikamwambia mimi nataka nikuoe akasema yeye ni mke wa mtu. Sikutaka kuamini kama ni kweli nikaanza kumchunguza nikaona alikuwa ananitania sikuwa na panic maana kama ni mke wa mtu mbona yupo chuoni na isitoshe umri wake mbona hauruhusu kuwa na mume maana hata dada yake namfahamu ametoka kuolewa juzijuzi tu hapa sasa iweje aolewe kabla ya dada yake.
Sasa nikawa najaribu kuweka ukaribu nae kupitia mawasiliano ya simu ila naona siku hizi hapokei simu zangu wala kujibu sms kila nikimpigia unakuta simu inaita wala hapokei sametimes anakata kabisa.
Kwakuwa tupo chuoni tena college moja kukutana nae physically ilikuwa ni jambo la kawaida kila nikikutana naye huwa ananichangamkia sana ila nikimuuliza mbona hupokea simu zangu ananijibu kukutana na mimi tu inatosha sio lazima iwe simu.
Nikamuuliza kama ni hivo basi namba zangu futa ila hataki kufuta namba zangu kila nikiingia watasapp nakutana na status zake naona bado kasave namba zangu.
Sasa huwa najiuliza hivi apa kuna mapenzi kweli wakuu au nipige chini niendelee na hamsini zangu
#Natanguliza shukurani wakuu
Ashike hili litamsaidiadogo soma kwa bidii, ukimaliza kusoma kama hujabahatika kuajiriwa usikate tamaa ingia chaka pambana na mishe nyingine upate pesa, pambana kila siku upate pesa,tafuta pesa, wakati sahihi ukifika utapata mwanamke sahihi utaoa, acha mambo ya kitoto[emoji16]
Kusoma nimeshasoma tayari ndio na malizia mitihani yangu that's why nilihitaji mahusiano kwakuwa lengo la kusoma tayari nimeshalitekelezakijana soma achana mapenzi kwanza
Suala la mawasiliano mimi nimeshaliacha. Kinachoniuma ni kwanini akiniona ni mtu wakunichangamkia kiasi kwamba utadhani sio huyu unaempigia halafu anakata simu.Kufuta ama kutofuta namba zako hayo muachie mwenyewe. Jiangalie wewe kama wewe na ujionee huruma, wacha kulazimisha mawasiliano na mtu asie na muda na wewe utakuja pigwa na kitu nzito shauri zako.
Ni ushiriina tuHivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye?? Maana hapa kama nipo njia panda hivi.
Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno mengi, nikamwambia mimi nataka nikuoe akasema yeye ni mke wa mtu. Sikutaka kuamini kama ni kweli nikaanza kumchunguza nikaona alikuwa ananitania sikuwa na panic maana kama ni mke wa mtu mbona yupo chuoni na isitoshe umri wake mbona hauruhusu kuwa na mume maana hata dada yake namfahamu ametoka kuolewa juzijuzi tu hapa sasa iweje aolewe kabla ya dada yake.
Sasa nikawa najaribu kuweka ukaribu nae kupitia mawasiliano ya simu ila naona siku hizi hapokei simu zangu wala kujibu sms kila nikimpigia unakuta simu inaita wala hapokei sametimes anakata kabisa.
Kwakuwa tupo chuoni tena college moja kukutana nae physically ilikuwa ni jambo la kawaida kila nikikutana naye huwa ananichangamkia sana ila nikimuuliza mbona hupokea simu zangu ananijibu kukutana na mimi tu inatosha sio lazima iwe simu.
Nikamuuliza kama ni hivo basi namba zangu futa ila hataki kufuta namba zangu kila nikiingia watasapp nakutana na status zake naona bado kasave namba zangu.
Sasa huwa najiuliza hivi apa kuna mapenzi kweli wakuu au nipige chini niendelee na hamsini zangu
#Natanguliza shukurani wakuu
Inaniuma sana kama hanipendi angeniambia tu direct nishike hamsini zangu
Hapana ndugu yanguNi ushiriina tu
Jukumu la kusoma tayari nimeshalitekeleza tayari ndio namaliza mwaka huu.soma acha UJINGA.mapenz ya chuo yatakusumbua tu.huna hela,sio handsome utaishia kula kwa macho tu.kwanza ndo kwanza unasoma alaf unamuambia mwenzio utamuoa si utapeli huo?