una umri gani hadi utake kuliona hilo jukwaa!una kifua wewe...Kila siku naona tuu, watu wakisema jukwaa la wakubwa,.
Hilo jukwaa liko wapi hasa wengine hatulioni?
Kila siku naona tuu, watu wakisema jukwaa la wakubwa,.
Hilo jukwaa liko wapi hasa wengine hatulioni?
12 na nusuuna umri gani hadi utake kuliona hilo jukwaa!una kifua wewe...
ni kweli kabisa pana ubaguzi kwakuwa hata jukwaa la wadogo halionekani
ni kweli kabisa pana ubaguzi kwakuwa hata jukwaa la wadogo halionekani
Crimea MWENYEWE MBAGUZI..KWA NINI UMEJITENGA NA UKRAINE???