Kwani ile TLS yao haiwezi?
Manake wakiwaga na kale kauchaguzi kao huwa wanapiga sana kelele humu hao makamanda....
Wanaye shangazi yao yule....kuna yule Kibatala sijui....na wengineo wasomi wasomi.
Makonda kiboko ya Shangazi
Sasa hivi amerukia kupanga safu ya wachezaji wa Taifa stars.Makonda hana akili. Anabebwa tu.
Pasi kubebwa, hawezi simama kwa miguu yake mwenyewe!
Na hakuna chochote katika katiba hiyo kinachowazungumzia wananchi kuhusu mbunge wao?Siwezi kuita watanzania wengine mabedui kwa sababu tu sikubaliani nao kiitikadi. Ila kwenye katiba kifungu cha 71 ambacho Ndungai alitumia kifungu kidogo cha kwanza sehemu ya (c) ma (g) kufuta ubuinge wa Lissu, kifungu kidogo cha pili kiliweka kuwa Bunge litakuwa na utrataibu wa mbunge kujitetea asivuliwe ubunge wake. Leo nilijaribu kupitia sheria kadhaa za Tanzania kuangalia kama kuna sheria inayotamka utaratibu huo sikuina. Ila katiba ilitegemea kuwa mtu anayevuliwa ubunge ana haki ya kujitetea mahakamani kisheria. Nasari alijitetea mahakani lakini utetezi wake ukashindwa kikidhi sheraia mbele ya mahakama.
Wakati mwingine hata mtu unaweza kutamani na kuomba muujiza utokee!Zuio la kimahakama ni muhimu kwa hawa mabedui.
Umekosea mkuu...uchaguzi ambao aupingwi mahakamani ni wa Rais tu basiHahaha mpingaji ni mbunge aliyevuliwa ubunge, ambaye wanadai hajulikani yuko wapi. Atakapo rudi nchini, jimbo linakua na mbunge tayari, sasa inakuwa sarakasi, hawezi kumpinga aliyeteuliwa na kupitishwa na tume ya uchaguzi, katiba inasema hao ndio wa juu kimamlaka kumtangaza wanayemtaka. Kwanza atakuwa na kesi nyingi sana hata huo ubunge hatoweza kuuhudumia, wacha apewe mwingine. Atapita bila kupingwa, na ndiyo style ya chaguzi za awamu hii.
Uchaguzi utazuiwa hadi kesi ya msingi iishe!Zuio la kimahakama ni muhimu kwa hawa mabedui.
Mimi navyojua TLS haipo kwa ajili ya Chadema wala haipo kutetea maslahi ya Chadema au kikundi Fulani cha jamii. TLS ni kwa ajili ya Watanganyika wote bila kujali itikadi. Maana yake Chadema kutumia mawakili ambao ni wanachama wa TLS haina maana Chadema wanaitumia TLS.Kwani ile TLS yao haiwezi?
Manake wakiwaga na kale kauchaguzi kao huwa wanapiga sana kelele humu hao makamanda....
Wanaye shangazi yao yule....kuna yule Kibatala sijui....na wengineo wasomi wasomi.
Wote hao hawawezi kufungia hilo shauri?
Siku hizi hata lugha zako zimefanana na yule nduli/shetani wa Chattle!Kwani ile TLS yao haiwezi?
Manake wakiwaga na kale kauchaguzi kao huwa wanapiga sana kelele humu hao makamanda....
Wanaye shangazi yao yule....kuna yule Kibatala sijui....na wengineo wasomi wasomi.
Wote hao hawawezi kufungia hilo shauri?
Mimi navyojua TLS haipo kwa ajili ya Chadema wala haipo kutetea maslahi ya Chadema au kikundi Fulani cha jamii. TLS ni kwa ajili ya Watanganyika wote bila kujali itikadi. Maana yake Chadema kutumia mawakili ambao ni wanachama wa TLS haina maana Chadema wanaitumia TLS.
Wakati mwingine hata mtu unaweza kutamani na kuomba muujiza utokee!
Mathalan, hivi itakuwaje/ingekuwaje kwa umoja wao wapiga kura wa jimbo wakasimama kwa umoja wao, umoja wao wa ubinaadam zaidi kuliko maslahi ya vyama vya siasa. Wakasimama na kupaaza sauti moja kwamba Jimboni kwao hapafanyiki uchaguzi wa marudio; na kwamba mbunge pekee wanayemtambua ni huyo aliyelazimishwa, bila utashi wake kutokuwepo na kuwawakilisha wakati wote huu.
Na kwa vile mbunge wao amekwishatangaza kwamba anarudi karibuni, hawaoni sababu ya mbunge huyo kuenguliwa katika uwakilishi.
Huu ndio kama muujiza ambao ungependeza wananchi wakauonyesha kama mfano kwa kukataa kuendeshwa kama mkokoteni na viongozi hawa wasiokuwa na sifa za uongozi.
Hili lingependeza sana, na lingekuwa mfano mzuri wa kuigwa na kuanza kuwatia akili hawa wanaojiona maamzi yao ndio kila kitu, bila ya kujali maslahi ya watu wanaohusika moja kwa moja. ambao ndio wanao athiriwa na maamzi yao mabaya.
Umetumia vigezo gani mkuu kufikia hilo hitimisho ? Wakili hana chama bali ana wateja. Na sifa ya wakili ni kuhakikisha/kutetea haki itendeke.TLS kuwa na wanachama wawili au watatu wanaotumiwa sana katika kesi za Chadema hakuifanyi TLS kuwa Chadema.TLS ni CHADEMA, point blank, period dot com.
Kwa kigezo kipi?Zuio la kimahakama ni muhimu kwa hawa mabedui.
Wakati mwingine hata mtu unaweza kutamani na kuomba muujiza utokee!
Mathalan, hivi itakuwaje/ingekuwaje kwa umoja wao wapiga kura wa jimbo wakasimama kwa umoja wao, umoja wao wa ubinaadam zaidi kuliko maslahi ya vyama vya siasa. Wakasimama na kupaaza sauti moja kwamba Jimboni kwao hapafanyiki uchaguzi wa marudio; na kwamba mbunge pekee wanayemtambua ni huyo aliyelazimishwa, bila utashi wake kutokuwepo na kuwawakilisha wakati wote huu.
Na kwa vile mbunge wao amekwishatangaza kwamba anarudi karibuni, hawaoni sababu ya mbunge huyo kuenguliwa katika uwakilishi.
Huu ndio kama muujiza ambao ungependeza wananchi wakauonyesha kama mfano kwa kukataa kuendeshwa kama mkokoteni na viongozi hawa wasiokuwa na sifa za uongozi.
Hili lingependeza sana, na lingekuwa mfano mzuri wa kuigwa na kuanza kuwatia akili hawa wanaojiona maamzi yao ndio kila kitu, bila ya kujali maslahi ya watu wanaohusika moja kwa moja. ambao ndio wanao athiriwa na maamzi yao mabaya.
Hujui sheria weweUchaguzi utazuiwa hadi kesi ya msingi iishe!
Usiwe na wasi wasi kwa hilo!