Hivi Gaza wizara iko moja Tu ya afya?

Hivi Gaza wizara iko moja Tu ya afya?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,712
Reaction score
57,223
Kila news nayopata kutoka Gaza lazima iwe imetolewa na wizara hiyo ya afya sijawahi kusikia wizara ya mambo ya ndani wala mambo ya nje ningependa kujua muundo wa serikali yao ukoje.kuna wizara nyingine kweli?
 
Wizara ya afya inadhibitiwa na hamas, wizara nyingine hazina udhibiti wa hamas.
 
Back
Top Bottom