mi nimelipa ada sana mpwa sijui pepo nikawwka laki sita itoe. . weewww nasikia zinapunga upepo pale baharini pembeniNilikuwa Kati ya wale wanufaika wa kwanza kwanza. Nilitia nusu ya ela ya bumu la 1st year, ila nilipopata mgao wangu sikurudi Tena Mana nilikuwa nimeshatonywa risk yake
Sent using Jamii Forums mobile app