Hivi gawio la desi limeishia wapi na wale viongozi wake naaona wanachagua aina ya mbuzi ngumu laini kokotoo makangee aisee

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
kama kuna watu watalaaniwa hapa Tanzania ni viongozi wa desi jamani

zile pesa ziliendaga wapi mpaka leo dah

sitaki kukumbuka enzi zile n nusu ya ada ya mwanangu mbaya sijui zikowapi nijue nilimchangia mtu fulani
 
Nilikuwa Kati ya wale wanufaika wa kwanza kwanza. Nilitia nusu ya ela ya bumu la 1st year, ila nilipopata mgao wangu sikurudi Tena Mana nilikuwa nimeshatonywa risk yake

Sent using Jamii Forums mobile app
mi nimelipa ada sana mpwa sijui pepo nikawwka laki sita itoe. . weewww nasikia zinapunga upepo pale baharini pembeni
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom