Hata mimi mlima chumvi wa Buza imeniuma kwa kweli siyo haki hata kidogo.
Ndio maana sheria za kiislamu zimeweka mkazo mkubwa mahusiano ya wanawake na wanaume hairuhusiwi mtu na mtu ambaye yeye halali kumuoa ;
1.Kupeana mkono hata kwa salamu
2.Kukaa faragha isipokuwa itokee dharura na itakuwa kwa mujibu wa sheria hata misikitini sehemu ya wanawake na wanaume zimetegwa
3.nk
Nashangaa Mama kajiachia tena kwa pozi tata na picha kuzua taharuki mitandaoni kiasi ambacho wengine kuweka caption zisizo na maadili na kudhalilisha . Uislamu umemkirimu sana mwanamke na kuumpa stara lakini watu wanataka so called uhuru na haki sawa.