abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,747
- 1,158
Kama vp mfuate yule maluun wenu????vp umeshamaliza zamu yako ya kufagilia malalo ya lile kubwa la maadui????
Umechanganyikiwa, hata hujui unaloandika. Mimi na Bandari ya Bagamoyo wapi na wapi?
Huyu mtu wako hapa hana hadhi kabisa na nafasi hiyo aliyoiokota; si kimwonekano tu bali hata katika uwezo wa utendaji.
Na mbaya zaidi, katekwa na kundi la wapigaji. Hii itakuwa balaa.