Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Mara nyingi sana type hizo utakuta alishajiondoa zamani sana, kwa maana hata Kiislamu tu Mwanamke haruhusiwi hata tu kumpa mkono kwa maana ya kusalimiana Mwanaume asiye Mume wake.
No respect, No Boundaries!

Ila alipochguliwa kuwa VP mara ya kwanza alikuwa ana act kama muumini haswa maana alikuwa hasalimii kwa mkono
Ila sasa rangi yake tumeiona
Ila siasa lazima uiache dini nakazia
 
Kivipi Yaani?. Wanausalama wanamzuia mama kupewa maneno matamu?. Wanausalama wanasikia kila neno linalotamkwa kati ya hao wawili?
Bila shaka wewe ni mweupe.. haujui na wala haufahamu vizuri kanuni za usalama wa raisi. Laiti ungekuwa unajua na kufahamu vizur kanuni hizo za usalama wa raisi nina imani usingeandika hiki ulichoandika, unless uwe umeandika tu kwa lengo la kufurahisha jukwaa na mleta mada. Raisi kama raisi mama yake au baba yake tu mzazi anapompa mkono lazima mkono wa mzazi uangaliwe kwa umakini na wana usalama ili wajue huo mkono una usalama kiasa gani kwa kumshika raisi, sembuse huyo mzungu.
 
Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!

View attachment 2205857
Shida iko wapi

Kwani hapo wapo guest house? Mujahidina mna matatizo

Kwani hapo wako kwa shehe wanafungishwa ndoa?

Yuko sehemu ya wazi mbele ya camera na walinzi wote
 
Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kai
Inategemea na uelewa wa mtu. Mbona hawa waligeana namba na tukio lao halikufanywa ishu kivile?

View attachment 2205859


Ila hawa HAPANA tuwe wakweli hapa maadili yaliwekwa pembeni. Mkono wa mdada aliyeshika simu umetua kwenye paja la mume wa mtu!! Hii HAPANA!! Hapa ni TAMAA na hakuna lugha nyingine!!
 
Ndugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.
Mbona unatokwa na povu mkuu au we ndo wale jamaa wa makaunda suti...
 
Kumbuka pia yeye ndio Amiri Jeshi mkuu wa hao wote aliowataja
Kuwa amiri jeshi mkuu sio kigezo cha kuwazuia wa chini yako wasifanye kazi yao ya kukulinda. Je haujawahi kumsikia Kikwete au Magufuli wakilalamika kuwa muda mungine walikuwa hawako huru kufanya mambo yao binafsi kwa sababu ya kuzingirwa na ulinzi waliokuwa nao? Wewe unaweza kuwa baba, lakini hauwezi kuutumia ubaba wako kumzuia mwanao asisome, serikali ikijua inakufunga. So jiulize why serikali ikufunge wakati mtoto ni wako? Hapo ndo utapata jibu la kile nilichoandika, au ulichoandika.
 
Kwani wivu huwa una cha umri mkuu?
Mumewe angekuwa kweli ana wivu hasa na Samia angekuwa na mke mmoja tu Samia tu
Wajahidina huwa wanajifanya wana aibu na wake zao mbona Hawaoi mmoja kama kweli wana mpenzi ya dhati? Wake wanne wa nink?

Halafu hujifanya ohh mitume alisema tuoe wake wanne kumbe uongo.Anaoa wanne skiwachoka wawili anawapa talaka ya kiislamu anaona wengine wawili ili idadi ibaki pale pale ya wake wanne !! Kumbe tayari anasoma sita akacheka hata wawili waliobaki aweza wapa talaka za kiislamu akaleta wanawake wengine wawili atakaooa kwa ndoa hapo tayari anafikisha nane
Mpaka mwanaume mjahidina anakufa anaweza kuwa kafikisha wake wa ndoa za kiislamu 20. Kwa ile oa acha

Wanawake kaeni mbali na wajahidina
 
Jambo usilojua Samia ni mke wa tatu kwa mume wake.
 
Ila hawa HAPANA tuwe wakweli hapa maadili yaliwekwa pembeni. Mkono wa mdada aliyeshika simu umetua kwenye paja la mume wa mtu!! Hii HAPANA!! Hapa ni TAMAA na hakuna lugha nyingine!!
Na inasemekana kuwa bint ana mwiba. So sijui ulimchoma baada ya ku fly to kia au alikuwa nao kabla ya ku fly. Yetu macho mkuu 🙊
 
Back
Top Bottom