Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,085
Kwa akili yako unafikiri kuwa walikuwa wenyewe tu? Kwamba hiyo ni selfie?
Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!
View attachment 2205857