Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Hivi first gentleman akiiona hii picha anajisikiaje?

Sisi wengine tuna wivu sana kwa wake zetu aisee.
Sijajua first gentleman wetu kama kaiona hii picha au hajaiona na kama kaiona kaitafsiri vipi!

View attachment 2205857
Ndugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.
 
Mara nyingi sana type hizo utakuja alishajiondoa zamani sana, kwa maana hata Kiislamu tu Mwanamke haruhusiwi hata tu kumpa mkono kwa maana ya kusalimiana Mwanaume asiye Mume wake.
No respect!
Sasa wewe hapo unafikiri Tanzania inaendeshwa kwa minajiri ya kidini, big no. Rais yupo kwenye kazi. Wewe kwa akili yako waigizaji waliooa na kuolewa wakifanya romantic act tayari wamezini? Akili za kitoto sana hizo
 
Ndugu, jitahidi kuwa na heshima na adabu.Huyo ni mkuu wa nchi mpe heshima yake hata kama humpendi.Jaribu kutumia uhuru wako vizuri. Jaribu kuweka mipaka.
Huyo hata akimuona mama yake mzazi katika picha kama hiyo. Atafikiri hivyo hivyo. Inawezekana pia hata akikutana na mama yake maeneo ya changudoa, atahisi kuwa mama yake yupo kazini. Kifupi ni tatizo la mtazamo wake.
 
Back
Top Bottom