Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Feb 27, 2012 #41 Rejao said: Nipo pouwa kabisa...mambo mengi tu..nataka nistaafu kabisa kuingia JF! Click to expand... Ukiondoka wanajamii hawatakubali hata kidogo....ukitaka kuamini we potea hata kwa week moja utaona Thread toka kwa wana JF inasema "Jamani NAM-MISS REJAO YUKO WAPI?"
Rejao said: Nipo pouwa kabisa...mambo mengi tu..nataka nistaafu kabisa kuingia JF! Click to expand... Ukiondoka wanajamii hawatakubali hata kidogo....ukitaka kuamini we potea hata kwa week moja utaona Thread toka kwa wana JF inasema "Jamani NAM-MISS REJAO YUKO WAPI?"
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Feb 27, 2012 #42 Rejao said: Nipo pouwa kabisa...mambo mengi tu..nataka nistaafu kabisa kuingia JF! Click to expand... Thubuuutu.....huwezi kuacha kuingia humu!
Rejao said: Nipo pouwa kabisa...mambo mengi tu..nataka nistaafu kabisa kuingia JF! Click to expand... Thubuuutu.....huwezi kuacha kuingia humu!
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,786 Feb 27, 2012 #43 Kwa hiyo unawafananisha na fenicha? Una tabia! Kongosho said: kama erick ni reception, basi Katavi ni senior reception. Click to expand...
Kwa hiyo unawafananisha na fenicha? Una tabia! Kongosho said: kama erick ni reception, basi Katavi ni senior reception. Click to expand...
K kaeso JF-Expert Member Mar 22, 2011 551 96 Feb 28, 2012 #44 King'asti said: Kwa hiyo unawafananisha na fenicha? Una tabia! Click to expand... hahahaaah!!
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Feb 28, 2012 #45 kaeso said: hahahaaah!! Click to expand... Km fenicha basi naomba niwe Kitanda ili nishuhudie watu wazima wanavyoliaga....hahahahahaaaaa
kaeso said: hahahaaah!! Click to expand... Km fenicha basi naomba niwe Kitanda ili nishuhudie watu wazima wanavyoliaga....hahahahahaaaaa
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Feb 28, 2012 #46 Erickb52 said: Km fenicha basi naomba niwe Kitanda ili nishuhudie watu wazima wanavyoliaga....hahahahahaaaaa Click to expand... Mweh!!!
Erickb52 said: Km fenicha basi naomba niwe Kitanda ili nishuhudie watu wazima wanavyoliaga....hahahahahaaaaa Click to expand... Mweh!!!