General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Nikikumbuka kipindi cha mahojiano ya Dr Slaa na Tido Azam Tv huwa nacheka sana.
Dr. Aliulizwa na Tido, Marekani unakwenda kufanya nini, Dr akamjibu nakwenda kusoma, kuna vitu nimesahau hivyo nakwenda kujikumbusha na makandokando mengine mana ni muda mrefu sana.
Hasa huwa najiuliza kwa umri wa Dr Slaa (67) ambae kiserikali umeshastaafu sijui alikuwa anakwenda kusomea nini?
Tukiacha hilo la umri, huwa najiuliza hiyo kozi inatolewa wiki 2 ama?? au ndo likizo?? au kaja kufanya field??!!! huwa nacheka sana nikimuangalia Dr anavyostaafu siasa kizembee.
Wakati mwingine tufanye vitu tukiweka kumbukumbu mana huku ni kujidhalilishaa..