Hivi Dr. Shein hamwogopi Mungu?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Katika vitabu vyote vya mitume wote na manabii wa M/Mungu vinasema lengo kuu hasa la mwanadamu kuumbwa ni kumwabudu M/Mungu, haya mambo mengine ni madogo na ya ziada tu kwa mwanadamu duniani hasa katika kujitaftia rizki na kwa Mungu hayana thamani kwake.

Sasa mimi najiuliza inakuaje Leo Dr Shein mzee wangu anapoingia msikitini na kusimama mara tano kwa siku anaponyanyua mikono yake kumwomba Mungu atasema nini ilihali nusu ya Wananchi wake wanasononeka kuhusu uhalali wa yeye kua kiongozi wa nchi? Hao wote wanaoingia msikitini huku nyoyo zao zikisononeka hatujui wananambia nini Muumba wao, hatujui mahitaji ya nafsi zao ni nini kwa Mungu sasa, hatujui machozi yao Mungu Muumba anayafuta vipi.

Well, Dr Shein anaweza kuhisi amefanya kitendo cha kumfurahisha Mungu anayemwamini yeye kua raisi kwa sababu tu eti kwa sababu kuna maeneo machache kule Pemba rafu zilichezwa oktoba 2015! Lakini Dr Shein ajiulize je, hizo sababu zilitosha kumpa uhalali wa kurudia uchaguzi tena na kumpa ushindi?Je, rafu za Pemba oktoba 2015 hazikutokea Tanzania bara?Mbona uchaguzi bara hukurudiwa?

Kwa hili Dr Sheni amemkosea Mungu sana na kama bado nusu ya wazanzibar wanasononeka ajue Mungu atajibu ajuavyo yeye! Dr Shein ajue maishani kwake duniani ameweka historia ambayo itamuhukumu hata akhera iwe kwa mema au mabaya.
 
Utaumiza kichwa chako bure, hata Bokoharam wana swali swala tano.
 
Dr Shein Kwa Sasa ni Dikteta hamjui mungu wala hatambui uwepo wake anachojua yeye ni kutawala Kwa nguvu na kutafuna pesa toka hazina pesa za watanganyika
 
Watenda dhambi ni lazima wawepo ili uwezo wa shetani upate kuonekana na hukumu ya Mungu iweze kutokea. Kusingekuwa na watenda dhambi tusingejua kama kuna dhambi, shetani walawafuasi wa shetani. Mnachotakiwa kufanya wana wa Mungu ni kumwombea Shein msamaha kwa dhambi hiyo ili laana ya Mungu isije juu yake maana laana ya mtawala akiwa katika madaraka huwaangukia pia watawaliwa.
 
Sijasoma sana Biblia, lkn kwa uchache ni kuwa kila Herode aliyezaliwa na kurithi ufalme alikuwa sawa na yule aliyeondoka madarakani.
Tangu zama zile, waumini waliomba lakini viongozi dhalimu waliendelea kuwepo. Kiongozi binafsi anapaswa amuogope Mungu ndipo maombi yatakapofanya kazi, vinginevyo ni kazi bure.
Kwenda Msikitini au Kanisani imekuwa fasheni siku hizi, kwahiyo swala tano na ama vinginevyo pale mhusika nafsi yake inamshitaki kwa ubaya hawezi fanya kitu.
Kwahiyo Herode ni Herode tu, na CCM ni CCM tu usitegemee mabadiliko!
 
mungu anisamehee sjui kama dr shein ana swalia mskitin kwa sabab kukutana na watu mskitin kutampa hofu nadhan ana swalia nyumban na familia yake tuu ndo maana hof hana
 
Anajua ameshinda kwa njia gani, watu kama wale uwa wanamtania Mungu huku mioyo ya watu inalalamika, wenyewe wapo mbele kwa mbele
 
Yeye anatakiwa asali kwa jina la jeche na ccm sio kwa mungu tunayemuomba
 
Tanzania nzima haimuogopi mungu. Angalia mambo ya matokeo club za kucheza uchi. Mauaji ya kipuizi eti mtu anauliwa kisa kagonga nyanya sokoni, imani watu hawana Ukipata ajili badala ya kumsaidia aloumia anaporwa mpaka nguo na mambo Mengine teletele machafu basi kabla hamjakaa na kumuandama Dr shein kila mmoja wetu ajiangalie yeye mwenyewe akiona kuwa yeye anamuogopa mungu basi ndio ujue nyani haoni makalio yake ila huona makalio ya mwenzake.
 
Anawaogopa viongozi wakuu wa ccm na marais wastaafu wa bara kuliko Mungu.
 
Back
Top Bottom