Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,001
- 288,262
Dah kama wafanya biashara wa Tanzania ndio mnafikiri kwa staili hii, basi pigweni kodi ya kutosha maake sio mnakoelekeaNimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara , sijui lengo lake nini , kuwakomoa ? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara ?
Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi , maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.
Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.
Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake , sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote .
Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezi kuleta bajeti inayokandamiza sekta hii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu .
Umeelewa lakini?Dah kama wafanya biashara wa tz ndo mnafikiri kwa staili hii, basi pigweni kodi ya kutosha maake sio mnakoelekea
Sasa ulitaka walengwe wakina nani? Unataka kufanya biashara halafu kodi hutaki kulipa? Kama hutaki kulipa kodi basi hama nchi!Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara , sijui lengo lake nini , kuwakomoa ? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara ?
Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi , maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.
Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.
Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake , sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote .
Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezi kuleta bajeti inayokandamiza sekta hii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu .
Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara, sijui lengo lake nini, kuwakomoa? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara?
Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi, maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.
Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake, sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote.
Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezi kuleta bajeti inayokandamiza sekta hii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu.
Vizuri sana .Mkuu, umeisoma hotuba ya waziri wa fwedha kisawasawa?
Vizuri sana .
Hiyo ya magari imepanda kwa asilimia 500. Ile 5m ilikuwa kwa miaka mitatu na hii 10m ni mwaka mmoja. Mimi navyojua ile revenue stream itashuka maana wengi wataexit na hiyo mi naona ndio problem lakini kuipandisha haina athari ya moja kwa moja kwnye biashara kwani ni luxury.Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara, sijui lengo lake nini, kuwakomoa? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara?
Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi, maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.
Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake, sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote.
Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezi kuleta bajeti inayokandamiza sekta hii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu.
Je hata ile mil 5 uliyokuwa unaipata nayo haina umuhimu ? Kumbuka hapo nimekuwekea vipande , tukiweka bajeti yote vyanzo vyake kwa % kubwa ni wafanyabiashara tu .ujue mimi sijakuelewa point yako mpaka sasa especially kwenye hiyo kupanda kutoka mil 5 hadi mil 10.nikuulize huko kupanda kwa hiyo kitu kina muathiri vipi mfanyabiashara maana hiki ni kitu unnecessary kabisa....
Sijui kama ni kilaza au bwege....maana ni mtu usio na uelewa mzuri wa biashara....no matter how you charge mfanyabiashara anaweka mark up price tu na inakurudia wewe mtu wa mwisho unayotumia bidhaa.....sasa kama ukiendelea kumuumiza wengine watafunga biashara maana watahitaji mtaji mkubwa zaidi na biashara itashindwa kuendeleaSasa ulitaka walengwe wakina nani? Unataka kufanya biashara halafu kodi hutaki kulipa? Kama hutaki kulipa kodi basi hama nchi!
Huna lolote ! Unajua kwanini baada ya bajeti kusomwa nchi imenuna ? Yaani wewe tu ndio uwe na uwezo wa kuona kuliko wengine ?Wapi hujapaelewa mpaka kuuliza kama waziri amewahi kufanya biashara?
heshima yako malala. Ila wafanyabiashara bongo kodi mnayotozwa bado ndogo sana. Hollande huko ufaransa matajir au wafanyabiashara wananyukwa 75% hadi wanatoroka nch. Nchi za skendinevia wananyukwa 64%+.Nimeiangalia bajeti yake kwa umakini na inaonyesha kama imewalenga hasa wafanyabiashara, sijui lengo lake nini, kuwakomoa? Hivi kuna nchi inaweza kusonga bila wafanyabiashara?
Kwa mfano kutoza VAT kwenye miamala ya simu pamoja na kumgusa kila mtu lakini wafanyabiashara ndio watakaoathirika zaidi, maana badala ya mtu kutuma hela mbagala kwa simu sasa atapanda daladala na kupeleka kwa mkono.Hili la kuendelea kutegemea bia na sigara kwenye kodi litaua viwanda ambavyo ni tegemeo kubwa la ajira.
Ifahamike kwamba hakuna mfanyakazi wa serikali ya Tanzania aliyewahi kusajili namba binafsi kwenye gari lake, sasa kupandisha ada hii kwa 100% yaani kutoka mil 5 hadi mil10 ni kuwakomoa wafanyabiashara bila sababu yoyote.
Mtu yeyote aliyewahi kupata uzoefu kwenye biashara ambaye anazijua changamoto zake hawezi kuleta bajeti inayokandamiza sekta hii kwa kiwango ambacho ni hakika kuna viwanda na biashara kadhaa hazitaweza kumudu.
Nchi inatakiwa ijiongeze , kutegemea wafanyabiashara tu ili kuendesha nchi iko siku tutakwama .ujue mimi sijakuelewa point yako mpaka sasa especially kwenye hiyo kupanda kutoka mil 5 hadi mil 10.nikuulize huko kupanda kwa hiyo kitu kina muathiri vipi mfanyabiashara maana hiki ni kitu unnecessary kabisa....
Labda nchi ya Lowasa! Nchi imenuna kwa misingi hipi?Huna lolote ! Unajua kwanini baada ya bajeti kusomwa nchi imenuna ? Yaani wewe tu ndio uwe na uwezo wa kuona kuliko wengine ?
Kuendesha kiwanda nchi zingine kuna ahueni maana hata mazingira yanakuruhusu kufanya kazi , sasa huku kwetu mjomba wadau hatushirikishwi kabisa .heshima yako malala. Ila wafanyabiashara bongo kodi mnayotozwa bado ndogo sana. Hollande huko ufaransa matajir au wafanyabiashara wananyukwa 75% hadi wanatoroka nch. Nchi za skendinevia wananyukwa 64%+.
Ila kwa akina Hollande yeye kwenye kampen kabla awe rais iyo ya kodi aliahid na ilikuwa kwenye ilan ndio iliyompeleka ikul kwasabab working class wengi walimpigia. Ila hapa kwetu ni kukurupuka tu aikuwa hata kwenye ilan wanakaa na kupanga kivyao tu. Halaf cha kuhuzunisha utakuta kodi inakusanywa kubwa hamna kitu tunazid kurwmbeza bakuli kweli nyambaf zetu. Afadhal akina Hollande huko ufaransa unaona kodi kweli inafanya kaz.
Ila Malala usikate tamaa. Kumbuka watu 300 pamoja na familia zao wanakutegemea
Sio kitu cha muhimu lakini kilikuwa kinaingiza mapato.....10m wakitoka it means unakosa ile 5m(opportunity cost)......benefits vs costsNchi inatakiwa ijiongeze , kutegemea wafanyabiashara tu ili kuendesha nchi iko siku tutakwama .
Huna lolote ! Unajua kwanini baada ya bajeti kusomwa nchi imenuna ? Yaani wewe tu ndio uwe na uwezo wa kuona kuliko wengine ?