Hivi Dokta Dau hana jema hata moja?

Hivi Dokta Dau hana jema hata moja?

U
Mimi ni raia wa daraja la kwanza JMT, Nina haki zote kikatiba kujua zuri/ baya kwa mtendaji yeyote serikalini. Kama niliyochangia yote kwako ni utumbo basi sawa sina tatizo ni mtizamo wako, jaribu kumpa mtoto wako asome comments zako zote kwa hii mada halafu mu-assess amejifunza nini ambacho ni productive!, hapa naona kuna vita ya HISIA vs. AKILI But in short run mnaoshabikia HISIA mtaibuka washindi, lakini sitashangaa nitakapokuja kujua wajukuu zenu bado wanalalamika kama baba na babu zao!. Ref: Investment multiplier effects!. I'm out!.
Raia Daraja lipi?
Teh teh teh.
You reminds me Mr Lincoln who said. Better to keep silent and let people think you are a fool, than to open your mouth and remove all doubt."

You better stay out of this. You embarrassed your parents son.
 
Teh teeh teh! Huyu mzee nasikia alipokea taarifa za kubadilishiwa utumishi akiwa kikaoni na alipo jaribu kurudi ofisini kwake kufungasha makablasha akazuiwa

Hapo ndipo yakajulikana madudu yake yote aliyoyafanya plus kile chumba cha "kuswalia" ndani ya ofisi ya shirika la umma linalohudumia watu wa aina zote(wanaoamini na wasioamini).

Kama kweli alifanya makanjanja ahukumiwe kwa mujibu wa sheria na si kwa malumbano ya kidini kama aliyoyaleta huyu mleta uzi.
 
Back
Top Bottom