Hivi Dokta Dau hana jema hata moja?

Hivi Dokta Dau hana jema hata moja?

Shangazi lusungo mimba changa ni shida mno hasa km unaishi kwa Shemeji.
Nakushauri urudi tu nyumbani ukerewe ukazalie huko. Hapa mjini hakuna atakae kujali. Utakula mkong'oto mpk ujifungulie sebuleni.

Ile njaa ilioko hapo nyumbani kwenu Ukerewe wanayo wengi tu wasio na Elimu km.wewe. Vumilia.
Haya ndio matatizo ya kupenda chips kavu za mijini matokeo yake kichefchef na Trip za clinic kuanza.

Km hii mimba ya 7 bado hujashtuka basi we utakula msoto mpk siku ya kufa.
Umekuwa ka jamvi la wageni. Kila mpita njia lzm alikalie.

Teh teh teh teh.
Dah..
Teh teh teh!

Kamanda umenipasua mbavu kwa kucheka daah!
 
Bi mkubwa sio kazi yangu kuonesha makosa ya watendaji wa umma, nafikiri sio kazi yako kuwatetea pia, taasisi za kumshtaki zipo na kama kwa yanayoendelea anapakaziwa basi ninyi wenye unasaba na Dr Dau mna haki ya kushinikiza wanaohusika kuweka ukweli hadharani na hukumu ya haki itendeke. Ukisoma comments zangu tokea awali sikubaliani na utetezi wenu kwa Dr Dau kwa misingi eti dini yenu ndio inaandamwa. Ndio maana tumeanza kutukanana kwa imani zetu, badala ya kuhoji faida au hasara ambayo Dr Dau kaliletea Taifa.
Huna lolote la maana unaloandika hapa. Sana ni kutujazia Utumbo mtupu.

We umekuwa nani ujadili Faida na hasara za Kiongozi ambae bado yuko Serikalini na Hajashtakiwa kwa Kosa lolote lile?
Kinachowasumbua nyie makatonta ni Wivu km ule wa wakewenza.

Mnamdadavua Dr Dau tu kwa sababu imani yake na yenu ni Tofauti.

Huyu Dr angekuwa mvaa msalaba na Koti reeefu ka Joho basi mngemtungia na Kwaya za kuusifu Utendaji wake.
Lkn Juu ya chuki zenu Dr anaendelea Kupeta tu kwa raha zake.

Ni nyie ndio mtakuja Kuchomokwa na Nafsi zenu kwa njaa na husda mlionazo.
 
Mimi hua sihangaiki na wagalatia(kafir)hua naamini kitu kimoja,ipo siku MUNGU ataleta 50/50,narudia tena ipo siku huu upuuzi utakuja kuisha.
Endelea kusubiri hiyo 50-50 bila kujishughulisha punguani wahed
 
Mcheki sura Lusungo
Kakenua meno anaona raaaaha

Teh teh teh.

.
a4bca7995a5be08cab5f8f8bb0d7ecf1.jpg


Sasa hapa sijui tuwaite mume na mke? Au mume na basha!
Yaani Hata Kiswahili pia kimegoma.
Basi yeye akiwa na hilo zee lake la kizungu naye anajiona kazaliwa Rome maninaa, hawa wazungu nuksi sana nasikia lile zungu la Mzito Kabwela limekufa kwa kumeza sana viagra.
 
Sisi tunawafata huko huko kuwapa darsa na AlhamduliLlah, North America will soon be an Islamic Frontier.

Maana huko darsa limewaingia kwa uwezo wake Allah na wanarudi katika Uislam makundi kwa makundi.


Endelea kuhorojoka kusubiria watu kuja maelfu ya kwenye ndoto....endelea kuota rudi kulala labda ndoto hujamaliza
 
Basi yeye akiwa na hilo zee lake la kizungu naye anajiona kazaliwa Rome maninaa, hawa wazungu nuksi sana nasikia lile zungu la Mzito Kabwela limekufa kwa kumeza sana viagra.
Yule wa mzito sio mzungu. Ni jamaa wa filipino. Ndio maana mzito akiwa nae anatembea na Vaseline mfukoni kila aendapo.
Wafilipino wabaya sana kwa pino.

Teh teh teh teh.
 
Makosa ya kiutendaji hufanywa na watu wa dini zote, kabila zote, mataifa yote. ndiyo maana leo hii aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TRA yupo Rumande, aliyekuwa Mkurungenzi Mkuu wa TAKUKURU amesimamishwa kazi, aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya Taifa naye amesimamishwa kazi na wengine wote. Mwandishi wa taarifa hii akumbuke kuwa Dr dau hajafukuzwa au kusimamishwa kazi NSSF, bali amepangiwa kazi nyingine na Raisi. Kwa malalamiko ambayo baadhi ya watu wanatoa kuhusu uamuzi huu wa raisi inaoenekana dhahiri wanaumia kwa kuondolewa DAU NSSF
Ndugu hao wote uliosema ni wana jumuiya na tunasali nao Kanisa moja atuwezi kuwagusa na uwa wana special seats Kanisani, sisi tunapambana na Dau tu ndiyo mbaya wetu.
 
Kwa maneno haya sidhani hata kidogo kama mnamsaidia huyo Dr Ramafhani Dau! The writing is already on the wall. Just wait and see.

I rest my case
Wagalatia bana nani kakuambia Dr Dau anaitaji kusaidiwa?
 
Ana mengi mema ila Waislam mmetuharibia sana hii nchi! Kaeni kando kwanza ili tuwaoneshe namna ya kuongoza nchi, mkielewa tutawaachia muongoze, vinginevyo don't even think about it! Cna hamu nnapowakumbuka Mwinyi na Kikwete wakiwa marais hasa ninapowalinganisha na Nyerere, Mkapa na sasa Magufuli! Tulieni mjifunze!
Ehee punguani sijui una umri gani, hii nchi inatafunwa na Wagalatia ndiyo wamefanya imekuwa masikini wa kutupwa.

Angalia idara zote za serikali mashirika ya umma toka uhuru wamejaa Wagalatia watupu hivi na ufisadi mnafanya nyie mpaka mnashirikiana na Kanisa kuiba refer issue ya ESCROW na benki yenu ya Kanisa, Mkombozi Benki masharti ya kupewa hiyo pesa lazima uwe mgalatia.

Wachungaji, Maskofu, wana kwaya wote walikuwemo kwenye mgao,

Wakati wa Nyerere ulikuwepo wewe? watu tulikuwa tuvaa makatambunga tunafulia nguo majani badala ya sabuni.
 
Ehee punguani sijui una umri gani, hii nchi inatafunwa na Wagalatia ndiyo wamefanya imekuwa masikini wa kutupwa.

Angalia idara zote za serikali mashirika ya umma toka uhuru wamejaa Wagalatia watupu hivi na ufisadi mnafanya nyie mpaka mnashirikiana na Kanisa kuiba refer issue ya ESCROW na benki yenu ya Kanisa Mkombozi benki.

Wachungaji, Maskofu, wana kwaya wote walikuwemo kwenye mgao.






wewe endelea kujificha nyuma ya keyboard na mzee wa majipu hana mpango kuangaika na nyie vijana ambao mzee wa msoga aliomba mkumbukwe....punguani wahed mtaendelea kusoma namba wenyewe
 
Hahaha eti ni "kashfa na matusi ya wazi kwa viongozi wa serikali" Wameshastaafu hao hawana ishu siyo viongozi wa serikali tena.
Basi endelea kutukana kamanda mwenzako Yerico naye alisema hivyo hiyo muulize aliwatukana kina nani, usije ukawasumbua ndugu zako kukuletea chakula jela kwa upuuzi wako.
 
Huu uzi hauna mjadala wowote wa maana unaoendelea zaidi ya matusi, Moderator angeufunga tu
 
U
Huna lolote la maana unaloandika hapa. Sana ni kutujazia Utumbo mtupu.

We umekuwa nani ujadili Faida na hasara za Kiongozi ambae bado yuko Serikalini na Hajashtakiwa kwa Kosa lolote lile?
Kinachowasumbua nyie makatonta ni Wivu km ule wa wakewenza.

Mnamdadavua Dr Dau tu kwa sababu imani yake na yenu ni Tofauti.

Huyu Dr angekuwa mvaa msalaba na Koti reeefu ka Joho basi mngemtungia na Kwaya za kuusifu Utendaji wake.
Lkn Juu ya chuki zenu Dr anaendelea Kupeta tu kwa raha zake.

Ni nyie ndio mtakuja Kuchomokwa na Nafsi zenu kwa njaa na husda mlionazo.
Mimi ni raia wa daraja la kwanza JMT, Nina haki zote kikatiba kujua zuri/ baya kwa mtendaji yeyote serikalini. Kama niliyochangia yote kwako ni utumbo basi sawa sina tatizo ni mtizamo wako, jaribu kumpa mtoto wako asome comments zako zote kwa hii mada halafu mu-assess amejifunza nini ambacho ni productive!, hapa naona kuna vita ya HISIA vs. AKILI But in short run mnaoshabikia HISIA mtaibuka washindi, lakini sitashangaa nitakapokuja kujua wajukuu zenu bado wanalalamika kama baba na babu zao!. Ref: Investment multiplier effects!. I'm out!.
 
Kosa kubwa la Dau ni kubadili Taasisi ya umma kuwa Misikiti. Mengine ni nyongeza toka kwenye dhambi hiyo. Hafai hata kwa dawa. Shetwani alijaa kila kona aliyopita ni wa kuombea sala maalum ili atubu dhambi hii.
 
Sheikh Akhui alhabiib almujitahid Ritz achana nae huyo mla nguruwe
Nguruwe ni nyama nzuri Sana
Pitia na hapa.
MOYO WA NGURUWE KUANZA KUTUMIWA KUOKOA MAISHA YA BINADAMU

MAJARIBIO YA KUPANDIKIZA MOYO WA NGURUWE KWA NYANI YAMEFAULU
 
Kason
Jamaa amekaa NSSF tangu 1997 mpaka 2016 bado analalamika? Yaani u DG miaka yote hiyo? Hii si sawa ndio maana aliota mizizi!! Kinachoshangaza waislam wanamtetea kama masihi wao!! Inatia kinyaa!![/QUOTE.....kasome tena shule...
 
Tusubirin tuone tusije muhukumu mtu bila vithibitisho
 
Back
Top Bottom