Hivi Dokta Dau hana jema hata moja?

Hivi Dokta Dau hana jema hata moja?

Mimi hua sihangaiki na wagalatia(kafir)hua naamini kitu kimoja,ipo siku MUNGU ataleta 50/50,narudia tena ipo siku huu upuuzi utakuja kuisha.
Hivi wafahamu maana ya hayo maneno? galatia ni Waturuki ambao 99% ni muslim tena sio wababaishaji kama wabongo. Na kumbuka mtume wa waislam alikataza kumuita mtu kafiri na atakaye muita mwenzie kafir yeye ndie kafir au mkuu umejiungatu uiambila uuelewe kasome uondoshe upumbavu.
 
The Epistle to the Galatians, often shortened to Galatians, is the ninth book of the New Testament. It is a letter from Paul the Apostleto a number of Early Christian communities in Galatia. Scholars have suggested that this is either the Roman province of Galatia in southern Anatolia, or a large region defined by an ethnic group of Celtic people in central Anatolia.[1] Paul is principally concerned with the controversy surrounding Gentile Christians and the Mosaic Law during theApostolic Age. Paul argues that the Gentile Galatians do not need to adhere to the tenets of the Mosaic Law, particularly circumcision, by contextualizing the role of the law in light of the revelation of Christ. Galatians has exerted enormous influence on the history of Christianity, the development of Christian theology, and the study of the apostle Paul.
 
Unaota ndoto za mchana wewe! Yaani mtu atoke kwenye mwanga wa kristo aende gizani?
Mwanga upi unaongolea hapa?
Ule wa ndoa za jinsia moja? Au wa kutoa pepo? Au wa kukusanya pesa za kondoo wenye njaa na kutembelea Gari za milion 200 wakati kondoo wanaochangia hizo pesa km wewe hata batavuzi huna?

Hebu nisaidie kuudadavua huo mwanga na mimi niutafute?
Au una maana Mwanga pale Karibu na Haedaru!
 
Ana mengi mema ila Waislam mmetuharibia sana hii nchi! Kaeni kando kwanza ili tuwaoneshe namna ya kuongoza nchi, mkielewa tutawaachia muongoze, vinginevyo don't even think about it! Cna hamu nnapowakumbuka Mwinyi na Kikwete wakiwa marais hasa ninapowalinganisha na Nyerere, Mkapa na sasa Magufuli! Tulieni mjifunze!
 
Hivi wafahamu maana ya hayo maneno? galatia ni Waturuki ambao 99% ni muslim tena sio wababaishaji kama wabongo. Na kumbuka mtume wa waislam alikataza kumuita mtu kafiri na atakaye muita mwenzie kafir yeye ndie kafir au mkuu umejiungatu uiambila uuelewe kasome uondoshe upumbavu.
Wapi Umepata maneno haya?
Unatunga maneno ya uongo kwa kuusingizia Uislamu.
Kafiri ni cheo cha yyt anaeabudu Sanamu au Mtu badala ya Mungu.

Sasa hili la kusema Watu wasiitwe makafiri umelipata wapi?
Ulitaka Tuite nyani makafiri au?

Na Mturuki alikuwa Paulo ambae ndio Mgalatia wa Kwanza. Japo kuwa anawatukana wagalatia wenzake na kuwaita Hawana Akili. Km wewe na bi mkubwa lusungo
 
Ana mengi mema ila Waislam mmetuharibia sana hii nchi! Kaeni kando kwanza ili tuwaoneshe namna ya kuongoza nchi, mkielewa tutawaachia muongoze, vinginevyo don't even think about it! Cna hamu nnapowakumbuka Mwinyi na Kikwete wakiwa marais hasa ninapowalinganisha na Nyerere, Mkapa na sasa Magufuli! Tulieni mjifunze!
Teh teh teh.
Toka lini Mgalatia Akawa na Shukurani? Hata Bata ana shukrani kuliko nyie makatonta mliolaanika.

We bi kidudu ungejua Biriani na Tv Ya Rangi bila Mwinyi?
Ungejua Kuvaa Lee Jeans na Nike air bila Mzee Ruksa?
Ungejua kiyoyozi we mtoto wa mzazi mmoja bila Mwinyi?
Babu yenu Nyerere wakati kakamata nchi hii miaka zaidi ya 30 Ukitaka kununua Gari mpk uombe Kibali.

Kadhulumu mali ya Wananchi wake wasio na Hatia lkn Mali za KANISA KATOLIKI kazifungia macho na kudanganya wananchi ati kataifisha Shule za missionaries kumbe Kila kinachopatikana ktk Shule hizo kinapelekwa huko huko Vatican.

Alipokuja mzee ruksa Mungu amuongeze Umri na Afya akawarudishia mali zao wale Wote Waliodhulumiwa na Yule Mkatoliki wenu.

Hio ni Laana Ya Mungu iko juu yake mpk siku ya malipo. Na nyie msio na Shukrani ngoja Muone bakora ya Mungu itakavyo wanyoosha.

Nguruwe ukimpakata lzm akunyee
Naona weww umeamua Kuhara kabisa.

Nani ktk nchi hii aliyekuwepo wakati wa Mzee Ruksa asiomkumbuka Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi?
Unless wewe ndio vile vitoto vikojozi bado unanuka maziwa ya mama uliezaliwa juzi.
 
Kwa maneno haya sidhani hata kidogo kama mnamsaidia huyo Dr Ramafhani Dau! The writing is already on the wall. Just wait and see.

I rest my case
 
Teh teh teh!!

Unajua hawa wakishaolewa na wazee wa kizungu nao wanajiona wazungu.
Mcheki sura Lusungo
Kakenua meno anaona raaaaha

Teh teh teh.

.
a4bca7995a5be08cab5f8f8bb0d7ecf1.jpg

Sasa hapa sijui tuwaite mume na mke? Au mume na basha!
Yaani Hata Kiswahili pia kimegoma.
 
Kwa maneno haya sidhani hata kidogo kama mnamsaidia huyo Dr Ramafhani Dau! The writing is already on the wall. Just wait and see.

I rest my case

You rest what case sweetheart! Dont be like chicken my love.

Dr Dau Asaidiwe kwani umeambiwa Ana shida gani? Au kuna mtu yyt kadai anamsaidiea hapa.?
Vaa miwani km macho yako left hand.
 
muislam katika nchi hii hana nafasi tuliona JK alivyoandamwa aliitwa mdini kwa mwenye uelewa akumbuke uchaguzi wa2010 ndio utaijua hii nchi mfumo mfumo mfumo mfumo
 
Tuondoshee upuuzi wa Kilango. Uongo aliousema mdogo?

Onesha kosa la Dau ni lipi?
Bi mkubwa sio kazi yangu kuonesha makosa ya watendaji wa umma, nafikiri sio kazi yako kuwatetea pia, taasisi za kumshtaki zipo na kama kwa yanayoendelea anapakaziwa basi ninyi wenye unasaba na Dr Dau mna haki ya kushinikiza wanaohusika kuweka ukweli hadharani na hukumu ya haki itendeke. Ukisoma comments zangu tokea awali sikubaliani na utetezi wenu kwa Dr Dau kwa misingi eti dini yenu ndio inaandamwa. Ndio maana tumeanza kutukanana kwa imani zetu, badala ya kuhoji faida au hasara ambayo Dr Dau kaliletea Taifa.
 
From 1997-2016, still complaining/lamenting????? alitaka kufia NSSF?? mbona anne kilango kakaa 2weeks tu na huyo tumtee vipi?????.
 
Teh teh teh teh.
Kusikia mbona mnasikia mengi tu?
Tatizo ni USHAHIDI bi lusungo, hapo ndipo makatonta mnaposhindwa ktk Kila mdahalo wa maana.

Nyie ni mabingwa kubeba kila mnachosikia . Ndio maana wewe ukiambiwa tu Mchungaji fulani anasamehe madhambi fasta na kwa bei poa unabeba mumeo na Ukoo wote kwenda kusamehewa madhambi bila kufikiri.
Na hata akikwambia ubaki nae ktk Sala ya Falagha we unaitikia tu "Tawile baba mchungaji" matokeo yake vitoto vya haramu mnatujazia mitaani.

Ndio maana Toka mzungu alipo tuachia picha yake tuiabudu mpk Kesho wewe na ukoo wako mtaipigia goti mpk siku Roho ziwachomoke.
Labda wale ambao Rehma ya Mungu ilio wateremkia. Huenda Wakashtuka.

Na suala la Kuthamini Waarabu hizo ni fikra zako Njaa zisizo na Mashiko.
Kwa Taarifa YAKO Waarabu ni ONLY 15% Muslims population ktk hii Dunia
85% Ya Waislamu Sio waarabu.
Sasa sijui hapo utasema Nini
Ndugu mbona umeng'ang'ania wazungu kanisani, hiyo picha ya mzungu sijawahi kuiona zaidi ya miaka 35 ninayosali kanisani. Ni mzungu gani huyo unayezungumzia?.
 
UKURUGENZI MKUU NSSF 1997 – 2016
HIVI DOKTA DAU HANA JEMA HATA MOJA?
2016%2B-%2B1

Kabla ya kuanza kuandika chochote kuhusu maudhui yenye anuani hiyo hapo juu, niwakumbushe wasomaji wangu ‘kisa’ kimoja nilichohadithiwa na rafiki yangu ambaye alikishuhudia yeye mwenyewe katika nchi moja (sipendi kwa leo kumtaja wala kuitaja hiyo nchi).
Dereva wa gari ambaye ni mzaliwa wa nchi hiyo aligonga gari ya mwenzake ambaye ni raia wa kigeni kwa dhahiri shahiri. Huyu dereva mzalendo ndiye aliyevunja utaratibu lakini cha ajabu yeye akawa akimlaumu, akimgombesha na kumtukana matusi mazito mazito yule aliyemgonga.
Yule aliyegongwa baada ya kuona watu wamejaa katika eneo la tukio akauliza: “Jamani! Katika hali hii mimi hapa kosa langu ni lipi?” Yule mzalendo aliyemgonga akamjibu hivi (na hapa ndipo kwenye nukta ninayoikusudia):“Kosa lako wewe ni kuwepo hapa nchini petu kwani kama ungekuwa kwenu, Je ningekuja kukugonga huko?”

Kisa hiki kinanikumbusha kwamba kuna baadhi ya makosa yanasababishwa na kumchukia tu mtu mwenyewe na wala si kuangalia kosa kama kosa katika mizania ya sheria.
Katika muktadha huo, ni vizuri tukajiuliza maswali kadha wa kadhaa juu ya ‘mlipuko’ wa baadhi ya wanahabari kumshambulia kwa kasi kubwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dokta Ramadhan Dau. Kulikonii? Au kosa lake ni kwamba alikalia mahala pa watu ambapo leo pamerudishwa kwa wenyewe?

Baadhi ya Watanzania wamestaajabishwa sana na ‘mlipuko’ huo mkubwa wa kumtangaza na kumshambulia Dokta Dau kwa tuhuma za ufisadi kwa sababu:

a)Hao ‘washika bango’ wa kuutangaza huo waliokwishauhukumu kuwa ni ufisadi hawaonekani kama wana lengo la kuhabarisha bali wamejipa kabisa mamlaka ya kuhukumu kwa kiwango ambacho hata hawakuhitajia kumhoji huyo wanayemtuhumu, jambo ambalo linaitia kasoro taarifa yao hiyo kwa jamii.

b)Wakati wanamjengea ‘kuchafuka’ huko katika jamii ya Kitanzania wamesahau kwamba ndio ‘wanamkejeli’ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta John Pombe Magufuli, kana kwamba hana vyombo makini vya kumpa taarifa na ‘akapotoka’ kwa kumteua kuwa Balozi mtu ambaye kwa mtazamo wao ni ‘mhalifu’ anayehukumiwa hata bila ya kustahiki kuulizwa na kujitetea.

c)Wakati washika bango hao wakikazia kumchafua Dokta Dau huku wakisahau kwamba katika uhalifu wowote ambao ni ‘shirikishi’ kumng’ang’ania mtu mmoja tu tena kwa kumtuhumu tuhuma nzito huku wakiwaacha wengine, ni dalili ya kuwepo ‘ajenda’ zilizofichwa nyuma ya mpango huo.

d)Washika bango hao wanastaajabisha kwa ufahamu wao juu ya taarifa za Dokta Dau lakini ‘wakazikalia’ mpaka alipoondolewa ndipo ‘wapumue’ kwa kuzitoa. Je,waliogopa nini kuzitoa hapo awali? Na kwanini sasa hawaogopi kuzitoa taarifa hizo?

Kama ni kweli kwamba chanzo chao kikuu cha taarifa ni Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) (Ripoti ambayo tayari Ofisi ya CAG imeshaikana), hivi Watanzania leo hii tumefikia kuifanya taarifa ya ukaguzi kuwa ndio hukumu halafu eti huo tuuite ndio utawala bora unaofuata sheria? Hivi Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inajadiliwa kwanza na wanahabari kisha wafikie au iwafikie watuhumiwa katika kadhia husika?

Amma kwa upande wa pili ndipo linapozalika swali ambalo huenda lingekuwa ndio ufumbuzi wa dhana ya chuki ‘binafsi’ dhidi ya Dokta Dau. Nayo ni kwamba huyo Dokta Dau aliyetumikia katika Shirika la NSSF kwa zaidi ya miaka kumi; hivi hana hata jema moja linalofaa kutangazwa?

Hivi jicho lenye uadilifu linaweza kuangalia mapungufu ambayo ni dhana na likawacha mafanikio ambayo ni hakika?
Je, washika bango wanakitazama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa mtazamo upi?
Je, wanaitazama miradi ya ujenzi wa nyumba za makazi inayofadhiliwa na NSSF kwa mtazamo upi?
Je, wanalitazama Daraja la Kigamboni kwa mtazamo upi?
Je, hayo na mengineyo kwa mtazamo wao ni mafanikio au mapungufu?

Hivi utendaji wa Dokta Dau katika Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutokea mwaka 1997 hadi 2016 mwanzoni, hakuna jema hata moja linalofaa kutamkwa kabla ya kupekua kinachoonekana kuwa ni mapungufu?

Watanzania lazima tuwe wakweli na kamwe tusiache kujifunza kutokana na msemo wa Waswahili usemao:“Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.” Kitendo cha kusahau kabisa mambo mema na mafanikio ya Dokta Dau katika Shirika hilo, hapo ndipo inapopata nguvu ile dhana kwamba Waislamu katika Tanzania hawatarajiwi kuwa raia wa daraja sawa na wenzao wa dini nyengine. Kwa hiyo, Muislamu ‘msomi’ katika Tanzania akishika wadhifa wowote katika serikali au shirika la umma hata kama atafanikisha mafanikio makubwa, anaonekana amefanikiwa kwa bahati mbaya tu kwa sababu sio matarajio Muislamu kutegemewa kuwa na uwezo katika utendaji.

Tumeshuhudia mara zote ambazo Waislamu wamekuwa viongozi wa juu katika nchi hii au katika idara, taasisi na mashirika mbalimbali ya serikali wamekumbana na matatizo na vizingiti kadha wa kadhaa mpaka walipobadilishwa na kupewa ‘wenyewe’ nafasi hizo, hapo sasa ndipo utulivu hupatikana.

Katika nchi yenye uwiano wa kukaribiana kiidadi raia wake kiimani ni aibu kubwa kuona kila eneo katika idara, taasisi na mashirika ya serikali kujazwa na raia wa dini fulani na akipatikana mmoja tu wa dini nyengine katika idara, taasisi au shirika lolote la serikali ‘atachimbwachimbwa’ mpaka ang’olewe na akishang’olewa kwa sababu tu amekalia sehemu ya ‘watu’ atachafuliwa ili jamii iaminishwe kwamba alistahili kuondolewa.

Katika hali ya ubaguzi wa aina hiyo, Watanzania Waislamu wanajiuliza: Hivi kweli tatizo ni kuwa Waislamu ‘hawakusoma?'

Hivi kwa nchi iliyo huru kwa takriban miaka hamsini sasa yule aliyewabagua raia wake kwa misingi ya dini mpaka kundi moja likapewa fursa ya elimu na kundi jengine likanyimwa; Je, huyo ni mzalendo au ni mbaguzi? Na Je, ni kweli kwamba Waislamu hawakusoma? Je, hawa Waislamu waliofikia viwango vya kushika urais, uwaziri, ukatibu mkuu wa wizara, ukurugenzi na kadhalika, sio Watanzania?

Ukweli ni vizuri ukasemwa kwamba Dokta Dau ashukuriwe kwanza mpaka Watanzania wajiridhishe kwa mafanikio haya makubwa yanayoonekana kabla ya kugeukia hayo yanayoitwa mapungufu. Huo ndio uungwana na ndio ustaarabu.

Katika hali hiyo sio vyema kukaa kimya kwani jamii kama inavyobadilika kitabia basi inabadilika kiuvumilivu na viwango vya subra.

Hivi ni kweli Dokta Dau hana jambo jema hata moja katika utumishi wake kama Mkurugenzi wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kiasi cha kuandamwa na ‘kusulubiwa’ namna hiyo? Na kama lipo, basi litajwe kwanza kwa sababu jema lipo wazi na linaonekana lakini mapungufu ni dhana inayohitaji ushahidi uliothibitishwa katika vyombo husika.

Hii ndiyo kauli yangu ya wiki hii na mjadala uko wazi.

Mwandishi wa makala haya ni Mwenyekiti wa ARRISAALAH ISLAMIC FOUNDATION.

Unaweza kuwasiliana naye kwa namba: +255 754 299 749, +255 784 299 749.

Mohamed Said: HIVI DOKTA DAU HANA JEMA HATA MOJA? NA SHEIKH MOHAMED IDDI

We punguani sijui umetokea wapi,
Kwanza dau hakuingia Nssf 1997 Bali 2000 na pia huyu dau binafsi alijijengea maadui kwa kufikiri kuwa jk atakuwa rais milele kwa kuwa jk ndo alikuwa anamlinda,haonewi huyu ukweli ni jizi na zaidi ni mbinafsi,ukitaka kujua zaidi subiria mashtaka yatakapokamilika
 
Mtu atakosaje zuri hata moja? Tena mtu msomi na aliyekuwa kiongozi wa muda mrefu kwenye shirika kubwa na maarufu kama Dr Dau hawez kosa zuri hata moja. Haiwezekan. Angekuwa ametolewa hapo muda mrefu sana. Anayo mazuri mengi tu

Lakini mazuri aliyotenda hayawezi kuwa kinga dhidi ya mabaya anayotuhumiwa nayo, labda kama ni uzushi tu. Na kwamba hayo makosa hajafanya peke yake hiyo pia si kinga. Hao wengne wataunganishwa tu kwenye hilo suala na vyombo husika. Yeye ndio alikuwa kiongozi mkuu
 
Tusiwatetee watu wafanyao makosa eti kwa sababu tunatoka nao sehemu moja au tunasali nao pamoja. Na wala tusiwazushie watu mambo ya uongo eti kwa vile hatutoki nao sehemu moja au hatusali nao pamoja. Na wala tisifiche madudu ya yeyote
 
Mtu atakosaje zuri hata moja? Tena mtu msomi na aliyekuwa kiongozi wa muda mrefu kwenye shirika kubwa na maarufu kama Dr Dau hawez kosa zuri hata moja. Haiwezekan. Angekuwa ametolewa hapo muda mrefu sana. Anayo mazuri mengi tu

Lakini mazuri aliyotenda hayawezi kuwa kinga dhidi ya mabaya anayotuhumiwa nayo, labda kama ni uzushi tu. Na kwamba hayo makosa hajafanya peke yake hiyo pia si kinga. Hao wengne wataunganishwa tu kwenye hilo suala na vyombo husika. Yeye ndio alikuwa kiongozi mkuu
Mkuu tatizo lipo kwenye afya ya ubongo katika kufikiria!, ndio maana wafia dini pekee ndio wanamtetea Dr Dau tena kwa misingi hiyohiyo ya dini. Kwenye dini ndipo tunapowekaga akili zetu mfukoni na kuanza kuishi kwa hisia. Malumbano jukwaani yanathibitisha matumizi makubwa ya hisia kuliko akili.
 
UKURUGENZI MKUU NSSF 1997 – 2016
HIVI DOKTA DAU HANA JEMA HATA MOJA?
2016%2B-%2B1

Kabla ya kuanza kuandika chochote kuhusu maudhui yenye anuani hiyo hapo juu, niwakumbushe wasomaji wangu ‘kisa’ kimoja nilichohadithiwa na rafiki yangu ambaye alikishuhudia yeye mwenyewe katika nchi moja (sipendi kwa leo kumtaja wala kuitaja hiyo nchi).
Dereva wa gari ambaye ni mzaliwa wa nchi hiyo aligonga gari ya mwenzake ambaye ni raia wa kigeni kwa dhahiri shahiri. Huyu dereva mzalendo ndiye aliyevunja utaratibu lakini cha ajabu yeye akawa akimlaumu, akimgombesha na kumtukana matusi mazito mazito yule aliyemgonga.
Yule aliyegongwa baada ya kuona watu wamejaa katika eneo la tukio akauliza: “Jamani! Katika hali hii mimi hapa kosa langu ni lipi?” Yule mzalendo aliyemgonga akamjibu hivi (na hapa ndipo kwenye nukta ninayoikusudia):“Kosa lako wewe ni kuwepo hapa nchini petu kwani kama ungekuwa kwenu, Je ningekuja kukugonga huko?”

Kisa hiki kinanikumbusha kwamba kuna baadhi ya makosa yanasababishwa na kumchukia tu mtu mwenyewe na wala si kuangalia kosa kama kosa katika mizania ya sheria.
Katika muktadha huo, ni vizuri tukajiuliza maswali kadha wa kadhaa juu ya ‘mlipuko’ wa baadhi ya wanahabari kumshambulia kwa kasi kubwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dokta Ramadhan Dau. Kulikonii? Au kosa lake ni kwamba alikalia mahala pa watu ambapo leo pamerudishwa kwa wenyewe?

Baadhi ya Watanzania wamestaajabishwa sana na ‘mlipuko’ huo mkubwa wa kumtangaza na kumshambulia Dokta Dau kwa tuhuma za ufisadi kwa sababu:

a)Hao ‘washika bango’ wa kuutangaza huo waliokwishauhukumu kuwa ni ufisadi hawaonekani kama wana lengo la kuhabarisha bali wamejipa kabisa mamlaka ya kuhukumu kwa kiwango ambacho hata hawakuhitajia kumhoji huyo wanayemtuhumu, jambo ambalo linaitia kasoro taarifa yao hiyo kwa jamii.

b)Wakati wanamjengea ‘kuchafuka’ huko katika jamii ya Kitanzania wamesahau kwamba ndio ‘wanamkejeli’ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta John Pombe Magufuli, kana kwamba hana vyombo makini vya kumpa taarifa na ‘akapotoka’ kwa kumteua kuwa Balozi mtu ambaye kwa mtazamo wao ni ‘mhalifu’ anayehukumiwa hata bila ya kustahiki kuulizwa na kujitetea.

c)Wakati washika bango hao wakikazia kumchafua Dokta Dau huku wakisahau kwamba katika uhalifu wowote ambao ni ‘shirikishi’ kumng’ang’ania mtu mmoja tu tena kwa kumtuhumu tuhuma nzito huku wakiwaacha wengine, ni dalili ya kuwepo ‘ajenda’ zilizofichwa nyuma ya mpango huo.

d)Washika bango hao wanastaajabisha kwa ufahamu wao juu ya taarifa za Dokta Dau lakini ‘wakazikalia’ mpaka alipoondolewa ndipo ‘wapumue’ kwa kuzitoa. Je,waliogopa nini kuzitoa hapo awali? Na kwanini sasa hawaogopi kuzitoa taarifa hizo?

Kama ni kweli kwamba chanzo chao kikuu cha taarifa ni Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) (Ripoti ambayo tayari Ofisi ya CAG imeshaikana), hivi Watanzania leo hii tumefikia kuifanya taarifa ya ukaguzi kuwa ndio hukumu halafu eti huo tuuite ndio utawala bora unaofuata sheria? Hivi Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inajadiliwa kwanza na wanahabari kisha wafikie au iwafikie watuhumiwa katika kadhia husika?

Amma kwa upande wa pili ndipo linapozalika swali ambalo huenda lingekuwa ndio ufumbuzi wa dhana ya chuki ‘binafsi’ dhidi ya Dokta Dau. Nayo ni kwamba huyo Dokta Dau aliyetumikia katika Shirika la NSSF kwa zaidi ya miaka kumi; hivi hana hata jema moja linalofaa kutangazwa?

Hivi jicho lenye uadilifu linaweza kuangalia mapungufu ambayo ni dhana na likawacha mafanikio ambayo ni hakika?
Je, washika bango wanakitazama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa mtazamo upi?
Je, wanaitazama miradi ya ujenzi wa nyumba za makazi inayofadhiliwa na NSSF kwa mtazamo upi?
Je, wanalitazama Daraja la Kigamboni kwa mtazamo upi?
Je, hayo na mengineyo kwa mtazamo wao ni mafanikio au mapungufu?

Hivi utendaji wa Dokta Dau katika Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutokea mwaka 1997 hadi 2016 mwanzoni, hakuna jema hata moja linalofaa kutamkwa kabla ya kupekua kinachoonekana kuwa ni mapungufu?

Watanzania lazima tuwe wakweli na kamwe tusiache kujifunza kutokana na msemo wa Waswahili usemao:“Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.” Kitendo cha kusahau kabisa mambo mema na mafanikio ya Dokta Dau katika Shirika hilo, hapo ndipo inapopata nguvu ile dhana kwamba Waislamu katika Tanzania hawatarajiwi kuwa raia wa daraja sawa na wenzao wa dini nyengine. Kwa hiyo, Muislamu ‘msomi’ katika Tanzania akishika wadhifa wowote katika serikali au shirika la umma hata kama atafanikisha mafanikio makubwa, anaonekana amefanikiwa kwa bahati mbaya tu kwa sababu sio matarajio Muislamu kutegemewa kuwa na uwezo katika utendaji.

Tumeshuhudia mara zote ambazo Waislamu wamekuwa viongozi wa juu katika nchi hii au katika idara, taasisi na mashirika mbalimbali ya serikali wamekumbana na matatizo na vizingiti kadha wa kadhaa mpaka walipobadilishwa na kupewa ‘wenyewe’ nafasi hizo, hapo sasa ndipo utulivu hupatikana.

Katika nchi yenye uwiano wa kukaribiana kiidadi raia wake kiimani ni aibu kubwa kuona kila eneo katika idara, taasisi na mashirika ya serikali kujazwa na raia wa dini fulani na akipatikana mmoja tu wa dini nyengine katika idara, taasisi au shirika lolote la serikali ‘atachimbwachimbwa’ mpaka ang’olewe na akishang’olewa kwa sababu tu amekalia sehemu ya ‘watu’ atachafuliwa ili jamii iaminishwe kwamba alistahili kuondolewa.

Katika hali ya ubaguzi wa aina hiyo, Watanzania Waislamu wanajiuliza: Hivi kweli tatizo ni kuwa Waislamu ‘hawakusoma?'

Hivi kwa nchi iliyo huru kwa takriban miaka hamsini sasa yule aliyewabagua raia wake kwa misingi ya dini mpaka kundi moja likapewa fursa ya elimu na kundi jengine likanyimwa; Je, huyo ni mzalendo au ni mbaguzi? Na Je, ni kweli kwamba Waislamu hawakusoma? Je, hawa Waislamu waliofikia viwango vya kushika urais, uwaziri, ukatibu mkuu wa wizara, ukurugenzi na kadhalika, sio Watanzania?

Ukweli ni vizuri ukasemwa kwamba Dokta Dau ashukuriwe kwanza mpaka Watanzania wajiridhishe kwa mafanikio haya makubwa yanayoonekana kabla ya kugeukia hayo yanayoitwa mapungufu. Huo ndio uungwana na ndio ustaarabu.

Katika hali hiyo sio vyema kukaa kimya kwani jamii kama inavyobadilika kitabia basi inabadilika kiuvumilivu na viwango vya subra.

Hivi ni kweli Dokta Dau hana jambo jema hata moja katika utumishi wake kama Mkurugenzi wa Shirika la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kiasi cha kuandamwa na ‘kusulubiwa’ namna hiyo? Na kama lipo, basi litajwe kwanza kwa sababu jema lipo wazi na linaonekana lakini mapungufu ni dhana inayohitaji ushahidi uliothibitishwa katika vyombo husika.

Hii ndiyo kauli yangu ya wiki hii na mjadala uko wazi.

Mwandishi wa makala haya ni Mwenyekiti wa ARRISAALAH ISLAMIC FOUNDATION.

Unaweza kuwasiliana naye kwa namba: +255 754 299 749, +255 784 299 749.

Mohamed Said: HIVI DOKTA DAU HANA JEMA HATA MOJA? NA SHEIKH MOHAMED IDDI
Makosa ya kiutendaji hufanywa na watu wa dini zote, kabila zote, mataifa yote. ndiyo maana leo hii aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TRA yupo Rumande, aliyekuwa Mkurungenzi Mkuu wa TAKUKURU amesimamishwa kazi, aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya Taifa naye amesimamishwa kazi na wengine wote. Mwandishi wa taarifa hii akumbuke kuwa Dr dau hajafukuzwa au kusimamishwa kazi NSSF, bali amepangiwa kazi nyingine na Raisi. Kwa malalamiko ambayo baadhi ya watu wanatoa kuhusu uamuzi huu wa raisi inaoenekana dhahiri wanaumia kwa kuondolewa DAU NSSF
 
Mtu wetu katolewa,Mtu wetu anaonewa duh!!
Tuachieni Mtu wetu hata Kama Ni mwizi,Ni wetu.
Haya maneno Aliwai Nena prof plo Lumumba wa Kenya.alipokuwa akihutubia kongamano la pcb ya uganda.
Haya sasa mufti katiririka mtu wao anaonewa kisa alikuwa amekalia kiti cha wenyewe..tena Miaka
Kumi.
 
Back
Top Bottom