Boss hivi dish ft 6 linaenda bei gani?hapa strong 4922 + pv, pale dish ft 6 kule intelsat 906 + nilesat huku samsung 49 LED.
sipendi ujinga kabsaa
Boss hivi dish ft 6 linaenda bei gani?
Then chanel na malipo yake zipo vipi?
Nitashukuru
Mkuu naomba nikupm namna ya settings za FTA natumia Dstv ila nataka nijaribu na upande huo pia ikubali nitupilie mbali hawa mabepari...dish peke yake bei yake ina-range kwenye laki 2 na kitu hiv. mi natumia FTA receiver so channels nazitafuta mwenyewe kwenye satellite & silipii chochote maana sijajiunga na provider yeyote kama azam/dstv/zuku.
Azam two hauipatiUsijaribu, continental hawafai, niliachana nao nikanunua startimes, channel za ndani zote naona bure, picha stable
ndugu kwa sasa tushasaau iyo continental mambo yote azam tv.mi ni fundi nyumba nying naitwa kufunga azam,star times nna zuku
bado awana hdNami nilitaka kuchukua continental ila nimeghaili. Naona wengi wanasema ni king'amuzi cha hovyo kihuduma.
Mkuu mohamedidrisa789, embu nambie kuhusu ZUKU... wana decoder ambazo ni HD ? maana huwa naona picha zao sio quality kiviile, zimefifia fulani hivi.
-Kaveli-
mkuu nipe mimiMi nilikuwa na cha antena, kikawa kinazingua kila siku, nikaenda ofisini kwao wakanishauri ninunue cha dish, nacho ni mzinguo full time, sasa Niko na Azam, ni poa sana. Hivi vya continental nataka gawa bure kwa atakaeniomba mwanzo.
mkuu nipe mimiMi nilikuwa na cha antena, kikawa kinazingua kila siku, nikaenda ofisini kwao wakanishauri ninunue cha dish, nacho ni mzinguo full time, sasa Niko na Azam, ni poa sana. Hivi vya continental nataka gawa bure kwa atakaeniomba mwanzo.
Hiyo startimes ulinunua lini? Hapa ya bure ni tbc tu na mm na tbc ni km paka na panya. Ktk channel ambao huwa sitaki kuiangalia ni tbcUsijaribu, continental hawafai, niliachana nao nikanunua startimes, channel za ndani zote naona bure, picha stable
Ukinunua continental dekoda umejiloga mwenyewe. Nilinunuaga sasa hivi natumia tu kama deki kuplay kwa USB. Wapo ovyo kabisa. Channel karibu zote ni zao wenyewe hakuna jipya watangazaji wale wale chanel karibu zote ujinga mtupu