Zipi??Kuna njia ya kufanya zisiote?
nataka nizitokomeze hizi hapa na hizi huku.....
Zipi??Kuna njia ya kufanya zisiote?
nataka nizitokomeze hizi hapa na hizi huku.....
Zipi??
Wewe wacha ufara!! Wengine ndo ugonjwa wetu huo!!
Mpendwa Munkari, njoo kwangu mpenzi! Nina bonge la upara hadi utainjoy!! Evelyn Salt, mwambie Munkari nilivyo na upara mzuri na ninataka nimlete kwetu usukumani!!
Hizi hapa na hizi huku....
mmmh mbona hapo kwa picha huna kipara? AKUU !!!!!!!!!!!!!!!!
Wala usiwe na wasi wasi kama weakness yako ni upara tu kwangu umefika, sema jingine mpendwa!!
Muulize wifi yako Evelyn Salt atakupa data zangu kamili!!!
Mpendwa Munkari, njoo kwangu mpenzi! Nina bonge la upara hadi utainjoy!! Evelyn Salt, mwambie Munkari nilivyo na upara mzuri na ninataka nimlete kwetu usukumani!!
tena huo upara wako kaka angu upo kama uwanja wa mpira. Wa nyamagana
ataenjoyyyyyyyy