UncleJoe
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 624
- 508
Ha ha ha na sura tunaangalia
ila kipara ni bahati nasikia mwanaume mwenye kipara wana........
malizia wana.....
Ha ha ha na sura tunaangalia
ila kipara ni bahati nasikia mwanaume mwenye kipara wana........
malizia wana.....
nimecheka sana mkuu;
nimecheka sana mkuu;
Sio saana, ni around GBP 30000.
mkuu umekuwa kimya kule onekana siku moja moja
Dawa pekee ni ulimi wa nyati, upatishe juu ya bichwa lako na hutapata matatizo ya nywele tena
nna majukumu mengine mkuu ndio maana naonekana kama sipo ila nipo mkuu wangu
Sio saana, ni around GBP 30000.
You are so funny. .hahaha. .nmekupenda bure. Jf huwa Inaboa ila comments kama hizi raha sana.Sister anacheeeka aha aha aha!! Hata mimi nimerejea maandishi yangu nimecheeeka aiseee!