Hivi dawa ya kipara ipo kweli jamani?

Hivi dawa ya kipara ipo kweli jamani?

Nilikuwa na nywele nzuri aisee Nashangaa naanza kuota kipara Gafla tu, halafu naona hata kwa vijana wenzangu wengi siku hizi naona vipara vingi tofauti na zamani ivi tatizo nini? Yaani mimi sipendi kipara au wapi naweza pata dawa jamani siipendi hii hali kabisa

ungemuuliza roney lazima akujibu..
 
umasikini tu mzee.....
paul-grays-image-1-906499540.jpg

images

Hair-Transplant.png
James-Nesbitt-Before-and-After.jpg

Weka picha za waswahili wenzako basi...
 
Hamjagundua NYWELE ZA WAYNE ROONEY ZIMEANZA KUPUNYUKA/KUNYONYOKA? Mtazameni kwa makini mtagundua!

Artificial kamwe haiwezi kuwa Natural!
 
Binafsi sipendi kipara yani bora niwe na mnvi kichwa kizima kama lowassa
 
Nilikuwa na nywele nzuri aisee Nashangaa naanza kuota kipara Gafla tu, halafu naona hata kwa vijana wenzangu wengi siku hizi naona vipara vingi tofauti na zamani ivi tatizo nini? Yaani mimi sipendi kipara au wapi naweza pata dawa jamani siipendi hii hali kabisa
Mkuu nikufae!! wajua ulimi wa ngombe huwa unamatemate, sasa hayo matendo dawa yakuzalisha nywele upya!! sasa tega kichwa chako kumdomo wa ngombe akurambe mara kadhaa !! utatupa majibu hapa JF. Hongera mapema..
 
Tumia mafuta yanayoitwa t444z, ni mafuta mazuri sana na yataondoa kipara chako.Ni gharama sana,ila yatakusaidia.hata hapa Tanzania yapo,ukigoogle hilo jina utaona number zao na wapigie watakuelekeza ofisi zao,ili uende ukanunue
 
"Eti nitaipataje bongo" dogo acha mikwara wakati boom lenyewe limekata tayari huna hata jeuri upo Udsm wenzako wanakulaza tu "Exile"...aha aha aha

sorry team vipara hapa!!

hahahahahahahahahahahah uwiii..jf ni NOMA
 
Kipara is a sign of wealth and wisdom kwahiyo wacha kije
 
mimi najua dawa ya kurudisha nywele ghalama ni 70000. lakini naweza kukusaidia bure ili wanajamvi waweze kutambua biashara hiyo pia ni ndani ya siku 27 utakua tayari umeona matokeo. kaka upo tayari nitafute nitakupa contact .
 
kuna dawa nimeiona kwenye tv wakiitangaza honestly i didnt pay attention...ila nikiliona lile tangazo tena nitakuambia
 
Nilikuwa na nywele nzuri aisee Nashangaa naanza kuota kipara Gafla tu, halafu naona hata kwa vijana wenzangu wengi siku hizi naona vipara vingi tofauti na zamani ivi tatizo nini? Yaani mimi sipendi kipara au wapi naweza pata dawa jamani siipendi hii hali kabisa

Wewe utakuwa umeoa ndo maana umeota kipara. Lol
 
Back
Top Bottom