mimi najua
dawa ya kurudisha nywele ghalama ni 70000. lakini naweza kukusaidia bure
ili wanajamvi waweze kutambua biashara hiyo pia ni ndani ya siku 27
utakua tayari umeona matokeo. kaka upo tayari nitafute nitakupa contact
.
Wala sijaoa bado Niko Single tu!
Zipo ndio...kuna deactivators watu hupaka
Wataka zusiote huko na kule! lol
Weka picha za waswahili wenzako basi...
Dawa pekee ni ulimi wa nyati, upatishe juu ya bichwa lako na hutapata matatizo ya nywele tena
Nitazipata pharmacy au maduka ya cosmetics???
bwanaweee mie nime accept the reality nna kipara and thats it. God sees me perfect this way. Kwani kipara dhambi? kwanza siku wadada hawaangalii sura.
Ha ha ha na sura tunaangalia
ila kipara ni bahati nasikia mwanaume mwenye kipara wana........
Kuna mzee mmoja jirani alikuwa kwenye ugomvi na jirani yake mwenye kipara ila maisha yake duni.
Namnukuhu akisema "zamani vipara vilikuwa vichache na wengi wao walikuwa matajiri na wenye busara pia ila siku hizi mavipara mengi tu mabaya mabaya mengine mavipara yamepigwa yana ngeu tu yaani hadhi ya mavipara haip tena...muone hata jirani yangu hapa likipara libaya halina hata rutuba....."
Sio siri nilicheka saaaana siku hiyo na baada ya maneno hayo lilizuka varangati na ugomvi mkuubwa saana. Aha aha aha aha ha
Team vipara hapa!!