Hivi dawa ya kipara ipo kweli jamani?

Hivi dawa ya kipara ipo kweli jamani?

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,755
Reaction score
2,303
Nilikuwa na nywele nzuri aisee Nashangaa naanza kuota kipara Gafla tu, halafu naona hata kwa vijana wenzangu wengi siku hizi naona vipara vingi tofauti na zamani ivi tatizo nini? Yaani mimi sipendi kipara au wapi naweza pata dawa jamani siipendi hii hali kabisa
 
Wayne rooney ana majibu sahihi zaidi juu ya swali lako.

Dawa ipo its all about money folk.
 
Nadhani itakuwepo dawa au operation kwani naona kwa sasa Wayne ROONEY (mchezezaji wa Man utd) kaota nywele, japo ya weza kuwa ghali. Ila pole ndg.
 
Ipo, ila pesa ndefu. Rooney zilimtoka kama M 70 za madafu..!
 
wayne-rooney-before-after-hair-transplant.jpg
 
Dawa zipo ila huku Afrika si maarufu sana...
 
Wayne Rooney aliitumia akafanikiwa

Wayne rooney ana majibu sahihi zaidi juu ya swali lako.

Ipo mPM Rooney.

Nadhani itakuwepo dawa au operation kwani naona kwa sasa Wayne ROONEY (mchezezaji wa Man utd) kaota nywele, japo ya weza kuwa ghali. Ila pole ndg.

Ipo, ila pesa ndefu. Rooney zilimtoka kama M 70 za madafu..!

Wayne Rooney alipandikizwa nywele kama vile walimaji wa mpunga wapandavyo mashina ya mpunga.

Hakutumia zile dawa zinazo-stimulate seli za mashina ya nywele.
 
Dawa ya kutibu kipara km kipara,HAKUNA ,.lkn kuna dawa za kustimulate nywele kukua lkn izo unatumia kw maisha yote tho still kipara kitaonekana bt nywele nazo ztakua,yan ukiacha bas kama kawa kinakua vile vile,na izo dawa pia zinazuia ukatkanaj wa nywele ,nywele źnakua hazdondok kwaiyo huwez kuktbu kabisa ,Au njia nyngne ni implantation ,yan tunazistimulate nywele kwa kuziotesha kwenye kichwa kutoka ktk ndevu zako au sehem ya kichwa iliyo na nywele hii ndo njia inayo work na ni very expensve aisee,lazma uwe tajir.mara nyng pia kipara n genetic tho mzngira yanaweza kua chanzo,mf stress,poor nutrition,etc
 
dawa ya moto ni moto.
wewe uwe unayoa nyewle zote, mtu hawezi jua kama una uwaraza!!
 
Wayne Rooney alipandikizwa nywele kama vile walimaji wa mpunga wapandavyo mashina ya mpunga.

Hakutumia zile dawa zinazo-stimulate seli za mashina ya nywele.

Kuna njia ya kufanya zisiote?
nataka nizitokomeze hizi hapa na hizi huku.....
 
Back
Top Bottom