Bugududu Sududu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2014
- 600
- 700
Siku hizi kumezuka kasumba kwa wakazi wengi waishio Dar es salaam kutumia neno MKOANI kwa kila kitu ambacho si cha Dar es salaam utasikia wanaume wa mikoani, wanawake wa mikoani, tabia za mikoani, shule za mikoani, mapenzi ya mikoani, na kila kilicho kibaya mikoani, kisichopendeza mikoani, ukiita Dar es salaam kwa jina la mkoa unaonekana kama umeikosea KWANI DAR ES SALAAM NI NCHI.
Acheni dhana zenu mbaya.
Mimi huwa ninakasirika sana kwa hizo dharau zenu
Acheni dhana zenu mbaya.
Mimi huwa ninakasirika sana kwa hizo dharau zenu