We ni mwalimu mbona unaleta lugha za darasani?hiyo nadharia potofu kwenye lugha. hata mtu wa mkoa mf Mwanza wengine wasio wa hapo ni wa mkoani tu kwake hata kama ni Dar nk.
ila usikasirike sana hata serikali itakapohamia Dodoma bado Dar itabaki kuwa ndo Tanzania lol
hahaha hapana boss nimejaribu kumuelewesha tu mleta mada.We ni mwalimu mbona unaleta lugha za darasani?
Sasa mkuu kudharauliwa na mtu anayekosa amani toka kwa vi-teenager (panyaroad) au mtu mmoja (scorpion) ndio kinakukasirisha?! Huoni kuwa ni wachovu tu...Mi huwa ninakasirika sana kwa hizo dharau zenu
kiongozi nilikuwa najaribu kuwaweka sawa hawa watuSasa mkuu kudharauliwa na mtu anayekosa amani toka kwa vi-teenager (panyaroad) au mtu mmoja (scorpion) ndio kinakukasirisha?! Huoni kuwa ni wachovu tu...
Dar sio nchi ni mkoaSiku hizi kumezuka kasumba kwa wakazi wengi waishio Dar es salaam kutumia neno MKOANI kwa kila kitu ambacho si cha dar es salaam utasikia wanaume wa mikoani,wanawake wa mikoani,tabia za mikoani,shule za mikoani,mapenzi ya mikoani,na kila kilicho kibaya mikoani,kisicho pendeza mikoani,ukiita Dar es salaam kwa jina la mkoa unaonekana kama umeikosea KWANI DAR ES SALAAM NI NCHI.acheni dhana zenu mbaya.Mi huwa ninakasirika sana kwa hizo dharau zenu
Acha Uongo ww Mwanza kuna mwendokasi?flyover,double road?Mwanza nzima mataa ya barabaran ni nyerere road tu! Ila kujifariji sio mbayaKamanda usipate shida mimi ni Mwanza kwanza mambo mengine baadae kutokana na kazi yangu nilikuwa nauwezo wa kufanyia kazi huko mikoani kama Dar na Pwani lakini kwangu mimi ni Mwanza kwanza, binasfi kinachonipelekaga Dar ni zile wizara zilizo huko tu ukiacha hivyo kila kilichopo huko na Mwanza kipo yaani huwa sijutii kutokuwa mkazi wa ule mkoa wa Darisama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa mkuukiongozi nilikuwa najaribu kuwaweka sawa hawa watu
Hakuna lolote. Watumishi na hali ya uchumi ilivobana wanakuja huku kutulilia kuwapa michongo waingize japo allowance.Dar kuishi lazima utumie Ubongo ndio maana ipo kama nchi ndani ya nchi na wakazi wake hujiona kama bahati mbaya kuzaliwa Bongo
Ndio utumiaji wa Bongo huo mkuu Mbongo kila atakapoenda lazima atumie bongoHakuna lolote. Watumishi na hali ya uchumi ilivobana wanakuja huku kutulilia kuwapa michongo waingize japo allowance.