Hivi Dar es salaam ni nchi?

Hivi Dar es salaam ni nchi?

Sijui ila ninachojua ni kuwa ARUSHA NI BARA
 
Njoo dar mkoani hamna ishu

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mwaya, karibu daslam na wewe uwe wa dar es salaam.
 
Watu Wa mikoani wanamaswali!!

17 PHD these are results
 
mbona huku kwetu stand kuu ya mabasi ya kwenda Dar na kwingineko inaitwa stand ya mkoa/mabasi ya mkoa. So ukiwa mkoa mwingine Dar napo kunakuwa mkoani... Teh
 
Kamanda usipate shida mimi ni Mwanza kwanza mambo mengine baadae kutokana na kazi yangu nilikuwa nauwezo wa kufanyia kazi huko mikoani kama Dar na Pwani lakini kwangu mimi ni Mwanza kwanza, binasfi kinachonipelekaga Dar ni zile wizara zilizo huko tu ukiacha hivyo kila kilichopo huko na Mwanza kipo yaani huwa sijutii kutokuwa mkazi wa ule mkoa wa Darisama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona huku kwetu stand kuu ya mabasi ya kwenda Dar na kwingineko inaitwa stand ya mkoa/mabasi ya mkoa. So ukiwa mkoa mwingine Dar napo kunakuwa mkoani... Teh
Ni kweli kabisa ila chakushangaza baadhi yao hawataki kukisikia kabisa mtu akipaita hivyo
Ni nchi na Rais wake ni Makonda, huoni mambo anyofanya kama vile ana bajeti yake tofauti na mikoa mingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe mna Rais wa mkoani
 
Kamanda usipate shida mimi ni Mwanza kwanza mambo mengine baadae kutokana na kazi yangu nilikuwa nauwezo wa kufanyia kazi huko mikoani kama Dar na Pwani lakini kwangu mimi ni Mwanza kwanza, binasfi kinachonipelekaga Dar ni zile wizara zilizo huko tu ukiacha hivyo kila kilichopo huko na Mwanza kipo yaani huwa sijutii kutokuwa mkazi wa ule mkoa wa Darisama.

Sent using Jamii Forums mobile app
kiongoz ni kweli afu watu wake wanaushabiki wa kishamba
 
Dar kuishi lazima utumie Ubongo ndio maana ipo kama nchi ndani ya nchi na wakazi wake hujiona kama bahati mbaya kuzaliwa Bongo
 
Star TV Dar wao huiita Mkoani mbona ni very simple tu sema vyombo vya habari vingi vipo Dar ndio maana wakitangaza habari lazima waseme habari za mikoani... Wewe Ukiwa Singida na unataka kwenda Moro na Dar sema tu naenda zangu mikoani! simple like that! acha ukuda basi
 
Back
Top Bottom