Hivi dada zetu mmekata tamaa ya kuolewa?

Hivi dada zetu mmekata tamaa ya kuolewa?

Mtu anavaa nguo hadi mstari wa "papuchi" unaonekana utaoa wa kupeleka wapi?! Hata kama huyo mwanaume atajifanya chizi atake kumuoa sidhani kama ataweza kuvuka vikwazo vya ndugu.

Kama jamaa kanogewa na mapenzi mathalani "tiGo" ndugu zake kwa wakati huo hawajanogewa na chochote kwahiyo wanakuwa wanahukumu kwa haki.

Huyo nae mshamba...kuna pichu zinauzwa hazijapindwa so tukivaa waweza hisi hatujavaa...angenunua hizo avae zisimuabishe
 
wako updated bana wee mi napenda kuwaona hivyo jiji linakua linang'aa hapo ndio tunaona tofauti ya jiji na mji baada ya majengo
madada wote wazuriiii

Kuvaa hivyo nadhani hawawezi kuacha maana inasemekana wanawake niwengi zaidi ya wanaume kwa maana hiyo lazima kuna kundi la wanawake ambalo lipo kama extra na hili ndio linatumia mwanya huu kuwachafua wanawake kiujumla kwa kuvaa ndivyo sivyo ili kuwashawishi waume za wenzao ili washare nao.Na ili kufanikiwa lazima wajiexpose kwa kumtamanisha mlengwa.
 
kaka hawa ke Wana mapepo yalioshindikana
 
Kuvaa hivyo nadhani hawawezi kuacha maana inasemekana wanawake niwengi zaidi ya wanaume kwa maana hiyo lazima kuna kundi la wanawake ambalo lipo kama extra na hili ndio linatumia mwanya huu kuwachafua wanawake kiujumla kwa kuvaa ndivyo sivyo ili kuwashawishi waume za wenzao ili washare nao.Na ili kufanikiwa lazima wajiexpose kwa kumtamanisha mlengwa.

Kundi la wanawake extra ni lile la 60yrs and above huko ndio wengi ni wajane ila walikuwa na waume zao wakafa sasa hao wanaovaa uchi na ni vijana wadogo sidhani kama shida ni idadi ndogo ya wanaume kundi hili bado liko na wanaume wengi wa kuwaoa shida kubwa ninayoiona ni mmommonyoko wa maadili.
 
Huyo mke unaoa wewe au wanaoa ndugu zako??

jua kuwa mke naye anaishi ndani ya jamii ambayo ndugu zabgu wapo. ebu mbadilike jamani mvae ngua za heshima. hivi juzi huku kimanga stand za daladala kuna wadada wawili walikuwa na jamaa zao afu nzili nguo wa dada walizovaa zilikuwa fupi basi watu wa pale walipowaona tu likaanza balaa wakadhalilishwa kwa kutiwa vidole kwenye matako na watu afu walejamaa baada ya kuona hali ni mbaya waliwakimbia hao wadada wakawaacha pale paka polisi kuja kuwasaidia ila walishadhalilishwa sana.
 
Duh that's too bad...
Kuna mavazi mengine yamepitiliza nakubaliana na wewe...
 
Umejdanganya hao wanaovaa vimini skirt ndo walio olewa na kuzalishw wakat watt wao wapo kijjn na mjin wanatesa tu ndo maana mnaishiaga kuoa walio zaa tayar.
 
Back
Top Bottom